Put me on your daily prayers marafiki

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
Heshima kwenu brothers, sisters and marafiki zangu wote wa MMU.

Msaada wa maombi kidogo ni muhimu as nipo kwenye kipindi kigumu, b mkubwa anafanyiwa serious operation and by now nipo nae Apollo health city, India for her treatment.
Nitashukuru sana kwa maombi yenu wadau
 
Mungu awe pamoja nanyi
na uponyaji wake uende kutendeka kwa imani ..
Amini katika yeye.
 
Kwa Imani hiyo uliyoweka kwa Mungu Muumbaji wa mbingu na nchi, ni udhihirisho tosha kwamba unatambua nafasi na uwezo wa Mungu kwamba MADAKTARI hutibu lakini UPONYAJI hutoka kwa MUNGU. Kwa Imani hiyo hiyo na Maombi yetu sote, Mama yetu AMEPONA. Ubarikiwe, kwani JESUS SAVES!
TELO.
 
Pole sana, tutakukumbuka kwa maombi.

Kumbuka Zab ya 118:17-19
'Sitakufa bali nitaishi,
Nami nitayasimulia matendo ya Bwana

Bwana ameniadhibu sana
Lakini hakuniacha nife

Nifungulieni malango ya haki
Nitaingia na kumshukuru Bwana

Amen
 
Mungu akatende muujiza juu yk kwa imani. Get well soon mrs mkata kiu
 
Mungu amtangulie bi mkubwa wetu mkuu.
 
Mwenyezi MUNGU atawatangulia, msiogope kwani hatowaacha peke yenu.

Get Well Soon B Mkubwa
 

Mungu wa huruma na upendo, amjalie afya ya roho na mwili. Yesu alikufa msalabani ili sisi tupone ayachukue mateso na mahangaiko yake, ili aweze furahia utukufu wa Mungu mkuu. Mungu aliyewapa maarifa na ujuzi hao matabibu aende afanikishe uponyaji wake kupitia kwao. Na akupe nguvu na akuzidishie amani ya kumtegemea yeye siku zote; Amen!
 
Mungu ambariki na kumpa nguvu na ujasiri wa kukabiliana na ugonjwa..Na amvushe katika hiki kipindi.

AMEN
 
M.Mungu awe pamoja nanyi na itendeke kazi ya mikono yake kupitia kwa wataalamu wanaomshighulikia.
 
Mungu atamsimamia,operation itakwenda salama. Pole sana ndugu.
 

Mungu awalinde na kuwaongoza, Mungu akawape afaya njema na kuwatoa Appolo salama na kuwarudisha nyumbani. Mungu awabariki.
 
Bila shaka atapokea huponyaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…