Putin akienda Alaska atakamatwa?

Nadhani Mkiongelea Urusi ni kama Mnaongelea Rais wa hapa Afika!!! mnakosea sana kulinganisha Kiongozi wa Uusi na hapa Tz au Afrika..

kwanza kabla ya Kutangaza eneo elewa KGB /FSB WALISHAKALIA eneo lile muda sana sana kila kitu kila sekunde..Sio mchezo
 
Sidhani kama watamkamata maana Marekani sio mwanachama wa ICC hivyo hawajibiki kwake!
 
Kabisa. Na masikini hasa wa kiafrica na baadhi wa asia😒
 
Kabisa. Na masikini hasa wa kiafrica na baadhi wa asai😒
 
Kwa hiyo nadhani Marekani wamepata nafasi ya kumtia mguvuni Bwana Putin.
kejeli

sema maneno ya dharau; fanyia mzaha



Above all, Alaska is a safe place for the Russian leader to visit. Putin is still wanted by the international criminal court, accused of war crimes in relation to the forced deportation of children from Ukraine to Russia in March 2023.

There is an arrest warrant out, but neither Russia nor crucially the US recognise the court. Nor are there any unfriendly countries to overfly.

A trip around the top of the globe is unlikely to run into unexpected difficulties that might make travelling over the Black Sea to Istanbul in Turkey unattractive.

 
Vijana wa sk hz kumbe ni bure kabisa. Dogo US siyo mwanachama wa ICC
 
Marekani haiwezi kumkamata huyu Mzee kama walivyokataa kumkamata Netanyau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…