Putin akiri hali ngumu, Ukraine wanapelekea moto kwenye counteroffensive

Putin akiri hali ngumu, Ukraine wanapelekea moto kwenye counteroffensive

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sio kawaida kwa huyu jamaa kukiri kipigo, ukiona mpaka anaisema ujue mle kwenye medani ni kichinjio cha wanajeshi wake...

Putin says Ukrainian attacks have intensified in recent days​

Russian president Vladimir Putin said on Thursday that Ukrainian attacks had intensified in recent days, primarily on the frontline running through Ukraine’s Zaporizhzhia region, Reuters reports.

Speaking to Russian TV on the margins of the Russia-Africa summit in St Petersburg, Putin said that Ukraine had not enjoyed success on any part of the front.
 
Mkuu 254 Watanzania hawajui English kwa hiyo ni Bora tu uwasaidie kwa google translation , iwe kiswahili . Tangu lini hawa waswahili wa kisarawe wakajua English
 
Nilichosoma kwenye hiyo link ni kuwa Putin kasema Ukraine wameongeza mashambulizi huko frontline hizi siku chache lakini hawajapata mafanikio!
 
Back
Top Bottom