Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 728
- 322
Kwamba dunia iliyoumbwa na Mungu imalizwe tamati na Putin asee.Wala mimi sishangai, Trump kigehu gehu sana, mimi nilisha mshitukia siku nyingi kwamba hana nia thabiti ya kumaliza mgogoro WA Ukraine, alichokuwa anafanya ni kumpigia simu Putin mara kwa mara lakini sio kutaka kukutana na Putin ana tangu aigie White House, cha ajabu Trump amekwisha kutaka na Zelensky ana kwa ana zaidi ya mara TATU au nne!! Baada ya kugudua hilo ndiyo nikaona Trump anampigia pigia simu Putin akiwa na lengo la kumchota akili tu lakini Trump, Waziri mkuu wa Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Poland na baadhi ya Mataifa ya Ulaya(ie some NATO members wamepania kuanzisha vita na Urusi - wamepania kweli kweli, lakini hata iweje Urusi ataeashinda tu, Urusi si mchezo walisha jipanga kuhusu kukabiliana na mahasimu wao wakubwa (NATO), na Putin alisha waonya siku nyingi kwamba akipata taarifa ya kintelijensia kwamba Taifa la Urusi linatishiwa na Mataifa ya NATO akasema huo ndiyo utakuwa ndiyo mwisho wa Dunia na atanii.
Binafsi namshauri Putin atangaze vita na Ukraine mapema iwezekanavyo, bila ya kujali nchi za Ulaya zita react vipi hata ikiwemo Merikani yenyewe, bila ya Putin kufikia uhamuzi huo Zelezensky na wapambe wake watamsumbuwa sana Putin.
Kwamba dunia iliyoumbwa na Mungu imalizwe tamati na Putin asee.
Siku hizi Jamii Forum ndg si ya "great thinkers" tena. Ukiwa na stress njoo humu soma mawazo ya watu ucheke😂😂😂Kwamba dunia iliyoumbwa na Mungu imalizwe tamati na Putin asee.
Aaaaiiiiseeeee! Uislamu raha sana.Iran kawatia adabu aisay hata wale Pro western kina Saud Arabia wameanza kumkumbatia Iran, hawataki kuona mziki wa Iran wa siku 12 tena unambiwa wametumia old stocks zaidi na ni kiasi walizo test ni new stocks na hizo new stocks mfano wa Sajeli na Heybar ni balaa unambiwa waliono mara ya kwanza Jahanamu ya dunia 😆 😂
Duh, halafu unatumia jina lako rasmi. Ngoja tutafute matokeo Yako ya kuanzia chekechea, maana si kwa utoto huu.wa kwanza
Atangaze vita mara ngapi?, ni mwaka wa 3 akiwa vitani.Wala mimi sishangai, Trump kigehu gehu sana, mimi nilisha mshitukia siku nyingi kwamba hana nia thabiti ya kumaliza mgogoro WA Ukraine, alichokuwa anafanya ni kumpigia simu Putin mara kwa mara lakini sio kutaka kukutana na Putin ana tangu aigie White House, cha ajabu Trump amekwisha kutaka na Zelensky ana kwa ana zaidi ya mara TATU au nne!! Baada ya kugudua hilo ndiyo nikaona Trump anampigia pigia simu Putin akiwa na lengo la kumchota akili tu lakini Trump, Waziri mkuu wa Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Poland na baadhi ya Mataifa ya Ulaya(ie some NATO members wamepania kuanzisha vita na Urusi - wamepania kweli kweli, lakini hata iweje Urusi ataeashinda tu, Urusi si mchezo walisha jipanga kuhusu kukabiliana na mahasimu wao wakubwa (NATO), na Putin alisha waonya siku nyingi kwamba akipata taarifa ya kintelijensia kwamba Taifa la Urusi linatishiwa na Mataifa ya NATO akasema huo ndiyo utakuwa ndiyo mwisho wa Dunia na atanii.
Binafsi namshauri Putin atangaze vita na Ukraine mapema iwezekanavyo, bila ya kujali nchi za Ulaya zita react vipi hata ikiwemo Merikani yenyewe, bila ya Putin kufikia uhamuzi huo Zelezensky na wapambe wake watamsumbuwa sana Putin.
Putin hawezi kuwa chini ya Trump hata siku moja, no one respects him (Trump) only Israel tu.Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya anga tangu vita hivo vya zaidi ya miaka mitatu kuanza.katika mashambulizi hayo yaliotokea usiku wa july 9 urusi imevurumisha ndege zisizo na rubani takribani 800 na makombora ya baharini 13 ambayo yamepiga miji mbali mbali.
Haya yanajiri baada ya rais wa Marekkani Donald Trump kusema amechukizwa na vitendo vya rais wa ursi Vladimir Putin na anapanga kutuma silaha zaidi kyiv
Alichoongea mwenzako umekielewa?Kwamba dunia iliyoumbwa na Mungu imalizwe tamati na Putin asee.
We kama mwenzako unasoma ila huelewi maana ya ulichosoma.Siku hizi Jamii Forum ndg si ya "great thinkers" tena. Ukiwa na stress njoo humu soma mawazo ya watu ucheke😂😂😂
Kwahiyo super power ni ninani anayepigana mda mfupi,?Urusi na Iran hawana tofauti kabisa katika mbinu za kivita mwaka wa 4 unaenda unapigana vita na kanchi kadogo sasa wewe ni superpower au supapawa?
Unaenda kupigana na kanchi kadogo kakiwa kameungana na mataifa zaidi ya 50 na bado unawatembezea mkong'oto.Urusi na Iran hawana tofauti kabisa katika mbinu za kivita mwaka wa 4 unaenda unapigana vita na kanchi kadogo sasa wewe ni superpower au supapawa?
Israel mwaka wa pili anapigana vita na wahuni 😃Urusi na Iran hawana tofauti kabisa katika mbinu za kivita mwaka wa 4 unaenda unapigana vita na kanchi kadogo sasa wewe ni superpower au supapawa?
hahahaha hakuna tabu.Duh, halafu unatumia jina lako rasmi. Ngoja tutafute matokeo Yako ya kuanzia chekechea, maana si kwa utoto huu.
Hana lolote.mm kinachonivutia kwa putin sio muongeaji sana lkn nakumbka ule msemo simba mwenda polee ndio mla nyama
Kama unadhani Russia anapigana vita na Ukraine vasi itakuwa hujui kinachoendelea, ile vita Ukraine ni eneo la vita tu, Ukraine hana anachotoa, kila kitu anatoa Western countries, facilitating vita kwa gharama zote ni West. Unasemaje Ukraine ndio anapigana.Urusi na Iran hawana tofauti kabisa katika mbinu za kivita mwaka wa 4 unaenda unapigana vita na kanchi kadogo sasa wewe ni superpower au supapawa?
✍️✍️Yaani dunia nzima haikutegemea Iran atafanya alichofanya
Alikaa kimya watu wakiuwawa Gaza na alikaa kimya wakati Saudia anavamia Yemen na baadae kuwapa marubani 100 wa Saudia kila mmoja RR
Iran alikubali wanasayansi wauwawe na akajibu kidogo tu
Ila akaapa kuwa atalipa kwa nguvu kubwa
Israel wakadhani anawaogopa kwa kuwa wanalindwa na US na pia EU wanamchukia sana Iran.
Ila alipopiga zile zilikuwa ngumi za Tyson aiseee, piga siku 12 tu mpaka wakaomba poo
Ila hata humu wale waliokuwa wanasema ni Taifa teule au land of promise na atakae laani alaaniwe, hatukuwasikia tena.
Kila mmoja Wetu alipata msgangao
Wazungu wanasema wa Israel wanaenda kutengeneza Taifa lingine hapo Cyprus na wamejazana haswa.
Hawatarudi tena Israel hata wapewe ahadi gani tena
Ila waarabu wote wamefyata mikia kwa Iran
Wanampa shikamoo Khamenei bila kuomba
Atangaze vita mara ngapi?, ni mwaka wa 3 akiwa vitani.Acha ubishi, lini Putin aliwahi kutangaza vita, tofautisha kati ya neno "Specially Operation" na neno "kutangaza VITA" Kama Putin angetangaza vita kamili dhidi ya Ukraine basically jeshi LA Ukraine na zelensky yenyewe ingekuwa imekwisha surrender bola ya kujali msaada WA silaha na mamuluki wanao toka nchi za magharibi kuja kusaidia Ukraine!!
Ni members wachache wanao juwa ukweli huo!!Kama unadhani Russia anapigana vita na Ukraine vasi itakuwa hujui kinachoendelea, ile vita Ukraine ni eneo la vita tu, Ukraine hana anachotoa, kila kitu anatoa Western countries, facilitating vita kwa gharama zote ni West. Unasemaje Ukraine ndio anapigana.
Nani alishambulia fordow tuanze na swali hili kwanza.Na KWANINI alishambulia yeye?maswali yataongezeka kulingana na uthabiti na utoshelevu wa majibu.Ukitaka kujua unyama wa Israel angalia hizi Raman hapa Kila mmoja kapata dose Kwa muda wake
View attachment 3399710View attachment 3399711