Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Meli ya kivita ya urusi Moskva flag ship imegeuzwa kuwa Nyambizi na waukraini.
Hii ni taarifa mbaya sana kwa Warusi na kwa ujumla meli hii ilikuwa ndiyo nembo kuu ya urusi huko black Sea.
Vita ya Ukraini vimeiexpose Urusi na kuwaacha utupu wa mnyama.
Aibu kubwa kwa Putin na kwa Hali inavyoendelea itabidi arudi nyuma zaidi ili ajisalimishe kiusalama maana Mwingereza tayari ameanza kufanya yake.
Wakati wa Vita baridi meli hii ilibeba nyuklia pia na kulingana na tension ya Vita hii ya Ukraine inawezekana all personel na silaha zote zimelamba tope. Urusi inabidi ijitafakari na ielewe kabisa dunia ya Leo haiendeshwi na washamba.
Picha kwa hisani ya mtandao.
#Wahuni siyo watu.