HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Apr 16, 2022 #61 GreatSeal said: Nato wanalijua na ndio maana wakubwa hawajaingia wanaingia mmoja mmoja kwanza naona UK kaanza ligi Click to expand... Washajua weakness yake ndo maana kwa sasa wanapeleka silaha mchana kweupe. Wanaenda Kyiv mchana peupe Sent using Jamii Forums mobile app
GreatSeal said: Nato wanalijua na ndio maana wakubwa hawajaingia wanaingia mmoja mmoja kwanza naona UK kaanza ligi Click to expand... Washajua weakness yake ndo maana kwa sasa wanapeleka silaha mchana kweupe. Wanaenda Kyiv mchana peupe Sent using Jamii Forums mobile app
relis JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 3,336 Reaction score 5,217 Apr 16, 2022 #62 Stroke said: Binafsi nilimpenda Putin ila dunia ya sasa haihitaji vita kwa sababu za kijinga kama zake. Sisi binadamu wa sasa tumefikia level nzuri ya ustaarabu. Click to expand... Level nzuri ya ustaarabu kama anayafanya marekani.
Stroke said: Binafsi nilimpenda Putin ila dunia ya sasa haihitaji vita kwa sababu za kijinga kama zake. Sisi binadamu wa sasa tumefikia level nzuri ya ustaarabu. Click to expand... Level nzuri ya ustaarabu kama anayafanya marekani.
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Apr 16, 2022 #63 relis said: Level nzuri ya ustaarabu kama anayafanya marekani. Click to expand... Ila nimeshangaa sana wanajeshi wa Russia yaani hawaonyeshi kabisa kwamba wako professional kuua ua raia hovyo na kubaka wanawake, yaani hawana kabisa tofauti na M-23 au ADF kule Congo. Very hopeless kabisa. Hakuna mazungu majinga kama haya.
relis said: Level nzuri ya ustaarabu kama anayafanya marekani. Click to expand... Ila nimeshangaa sana wanajeshi wa Russia yaani hawaonyeshi kabisa kwamba wako professional kuua ua raia hovyo na kubaka wanawake, yaani hawana kabisa tofauti na M-23 au ADF kule Congo. Very hopeless kabisa. Hakuna mazungu majinga kama haya.