Putin anusurika jaribio la mauaji

Unamfahamu successor wake?
Ndio nakwambia successor wake hana mswalia mtume,ombeni aendelee kuwa hai mpaka vita hii iishe!
NB:Kumuua Putin sio jambo la Kupanga siku mbili au 3,inabidi mpange njama miaka 30,Tena hapo mkoteleza tu mnaanza zoezi la Kupanga upya!
 
Upeo wangu mdogo au mkubwa hiyo haijalishi. Mi naomba waliue tu ili lisije likatufikisha kwenye nyuklia. Kasayari kenyewe ni haka haka hakuna kengine. Au wewe mwenye upeo mkubwa una mahali pa kukimbilia? Wapi? Njombe au Mars? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mara y mwisho Nyuklia inatumika Putin alishiriki? Alichochea chochote?
 
Ndio nakwambia successor wake hana mswalia mtume,ombeni aendelee kuwa hai mpaka vita hii iishe!
NB:Kumuua Putin sio jambo la Kupanga siku mbili au 3,inabidi mpange njama miaka 30,Tena hapo mkoteleza tu mnaanza zoezi la Kupanga upya!
Successor wa Putin unamjua wewe na ujuaji wako? Humjui, na hivyo huwezi sema lolote kuhusu usiye mjua. Eti umekaa hapa unaamini Medvedev yule mlegevu ndio successor wa Putin. Lipi alilofanya Medvedev mpaka useme ni zaidi ya Putin.
Kibaraka aliyewekwa term moja na Putin akawa Waziri Mkuu ili kupisha sheria ya mihura miwili ndio unasema hana mswalia mtume? Warusi wa Kigamboni bwana
 
Msubirini aingie ndio mtajua hamjui!
 
Kweli ni blah blah,kwa sababu kishindo kilisikika ndipo dereva alipomudu usukuani na kumpeleka Putin nyumbani kwake salama....Kwani ni raisi Putin au ni mtu mwengine huyo aliyekuwa akitokea klabunu kwenda nyumbani kwake mitaa ya Moscow.
 
Nimeshindwa kuiamini story baada ya kuona unknown day, kwamba waliweza kujua mpaka idadi ya motorcade, model nk lakini wakashindwa kujua siku? Cooked one
 
Medvedev angekuwa kaisha wapa moto mkali sana.. Hii issue ingekuwa imeisha yani

Ha ha ha!! Sasa mumemhama Putin mumekwenda kuabudu sijui nani huyo, kwani huyo angetumia wanajeshi wengine kutoka Mars au hawa hawa wanaopokea moto.
Nakumbuka Putin alipoomba msaada kutoka kwa wale waislamu wa Chechya mlisema ndio basi amemaliza shughuli, ila wakapokea za uso, akaleta sijui jenerali fulani aliyepigana Syria mkasema babkubwa, ila muziki ukawa ule ule.
 
Ndio nakwambia successor wake hana mswalia mtume,ombeni aendelee kuwa hai mpaka vita hii iishe!
NB:Kumuua Putin sio jambo la Kupanga siku mbili au 3,inabidi mpange njama miaka 30,Tena hapo mkoteleza tu mnaanza zoezi la Kupanga upya!
Umenichekesha sana bro. Eti tupange. Mimi niko hapa Misungwi nimeshiba combo ya makande na michembe tumbo ndii nimeweka vocha ya buku kwenye mkweche wangu wa Itel nipange nini? Hata najua kinachoendelea? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Ila endeleeni kupambana bana mpaka Liputin lishinde tu maana ikitokea likashindwa itakuwa aibu sana. Kila la heri aisee!
 
[emoji2]
 
Tena ni vema tuombe Russia ashindwe au wafikie makubaliano,akishindwa ni nukes!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mwamnyenge akiteuliwa na putin kwenda Frontline watasema sasa huyu ndiyo wa mwisho kabisa.. Watakuletea na records zake za kuwafurumsha M23๐Ÿ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ