Putin aomba msaada wa Wanajeshi Korea Kaskazini

Naona mkakati wa NATO unafanikiwa sana. Kumdhoofisha Putin. Sasa imenyesha paananza kuonekana panapovuja.

View attachment 3130512
Hili ni fundisho kwamba usimdharau mwanaume ambaye yupo nyumbani kwake,hata kama anakaa kwenye nyumba ya nyasi. Wengi wanasema putin anapigana na mataifa ya magharibi,tujiulize swali hili,je alipopanga kuivamia ukraine,hakulijua hilo?

Je,ni kweli mtu ukivamiwa na nyoka nyumbani kwako,ni kosa kuwaita majirani kumfurusha?
kama tunawaita majirani watusaidie kumshinda adui,Ukraine yupo sawa akiomba msaada popote.
ila ukilitafuta huku ukijua huna uwezo wa kulitatua ni mojawapo ya ujinga.
 
Putin si alisema Nato wakimsaidia Ukraine atakufa nao....na akasema Nyuklia itatumika?
 
Putin si alisema Nato wakimsaidia Ukraine atakufa nao....na akasema Nyuklia itatumika?
Umoja wowote ule,unatisha asikwambie mtu.
Nchi zote za mashariki akiwemo putin na uchina,si watu
kama nasema uongo,linganisha mishahara ya wawekezaji waliopo hapa nchini kati ya nchi za mashariki na magharibi utakuta walioajiriwa na wawekezaji wa nchi za mashariki wanafanyia kazi jangwani,penye joto na ukame mkali.
 
Hayo maneno aliyasema kama kitisho,kumbe yeye mwenyewe anasahau
anaowatisha nao nyukilia wanayo,na hawezi kurusha nyukilia kwanchi zote za magharibi kwa wakati mmoja.
Akijaribu anajua atafuta taifa moja,lakini mataifa mengine yote yatamwaga mabomu hapo kwake hivyo urusi ndo itazama,na sisi afrika tunaoshabikia taka taka inayoitwa brics sijui nini?
 
Russia kuomba wanajeshi Korea Kz sio ajabu kwa sababu hawako kama walivyo fikiriwa kuwa na hao wakorea ni wazi kwamba hawawezi kupigana kwa ari kwa sababu hawawezi kufia deni lisilo lao.
 
Urusi na Israel zinakuzwa sana kijeshiii ila kiuhalisia ni hamna kitu πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…