Putin apiga marufuku ya uuzaji wa mafuta ya Urusi kwa Nchi za Magharibi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesaini amri ambayo inaweka marufuku ya uuzaji wa mafuta na bidhaa za mafuta kwa mataifa yaliyoweka kikomo cha bei ya mafuta ya Urusi, kuanzia Februari 1, 2023 kwa kipindi cha miezi mitano.

Kundi la G7 la Nchi tajiri Duniani, Umoja wa Ulaya na Australia walikubaliana kuwa bei ya pipa moja la mafuta ghafu lisizidi Dola 60, hatua ambayo ilianza kutekelezwa Disemba 5, 2023 kwa sababu ya “Operesheni maalum ya kijeshi” ya Moscow Nchini Ukraine.

Amri hiyo ya Kremlin inatarajiwa kuanza kutekelezwa Februari 1, 2023, na inaendelea hadi Julai 1, 2023.

+++++++ +++++

Russia bans oil sales to countries using price cap

Russia has banned oil sales to countries and companies that comply with a price cap agreed by Western nations earlier this month.

The price cap - which was agreed by the G7 group of nations, Australia and the EU - came into force on 5 December.

The cap prohibits countries from paying more than $60 (€56; £50) per barrel of Russian oil.

Russia has now said its oil and oil products will not be sold to anyone imposing the price cap.

The presidential decree said the ban would take effect for five months from 1 February until 1 July.

The decree also said Russian President Vladimir Putin could give "special permission" to supply to countries that fall under the ban.

The G7 group of major economies first put forward the idea of a price cap in September in order to stop Moscow from using oil revenue to finance the war in Ukraine.

Although Western demand for Russian oil fell after the invasion, Russian revenue remained high due to a price spike and demand elsewhere, including from India and China.

Source: BBC
 
... ban inaanza Feb 1, 2023 for five months. Apige ban ya milele kama yeye jeuri sana badala ya kusikilizia upepo.
Wenzetu hawafanyi vitu kwa kukurupuka kama sisi wanatoa mda wa majadiliano na makampuni kujiandaaa ata umoja wa ulaya walivyoweka hii sheria waliangalia mda wa kuanza kutumiakka na kuwapa makampuni kujiandaa
 
Wenzetu hawafanyi vitu kwa kukurupuka kama sisi wanatoa mda wa majadiliano na makampuni kujiandaaa ata umoja wa ulaya walivyoweka hii sheria waliangalia mda wa kuanza kutumiakka na kuwapa makampuni kujiandaa
... nimekuelewa.
 
... ban inaanza Feb 1, 2023 for five months. Apige ban ya milele kama yeye jeuri sana badala ya kusikilizia upepo.

ukiskia mafuta yamepanda bongo basi asubui yake kila kitu kingine kinapanda, mafuta ni muhimu sana! japokua wabongo wengi siasa zenu ni za vijiweni kama kukomoana ila unapokua kiongozi unatumia busara zaidi ijapokua una nafasi ya kufanya mabaya zaidi, wanunuaji wa mafuta ni wengi sana duniani hauwezi kumaliza soko zima kwa sababu uhitaji ni mkubwa sana

- sasa putin anchofanya ni kwuafanya viongozi hao wakatafute mafuta sehem ingine, maaana yake kama watanunua mafuta mbali zaidi ya russia basi bei itapanda ukijumlisha na hali mbaya ya uchumi ilopo saaahv basi viongozi wengi watakua kwenye vuguvugu la kupinduliwa kwenye nafasi zao
 
Magharibi wanamchezesha mbwa kachoka sana Urusi yaani wamempa $60 kwa pipa kama hataki atambae zake, ni kama vile serikali inakwamba gunia lako la mahindi uza Tshs 4,000/= kama hutaki basi, Urusi imekwisha tena

Nchi za magharibi toka waipe urusi conditions hizi tayari washakuwa na mbadala na mkataba muda mrefu. Urusi ndio inaenda arijojo tena kiuchumi kwisha habari yao
 
... ban inaanza Feb 1, 2023 for five months. Apige ban ya milele kama yeye jeuri sana badala ya kusikilizia upepo.
Kajibu mapigo ya price cap.....mwaka mwingine mgumu kwake uko njiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…