Putin asema makombora yake ya hypersonic yasiyo na mpinzani yapo tayari kutumika vitani sasa

Putin asema makombora yake ya hypersonic yasiyo na mpinzani yapo tayari kutumika vitani sasa

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Rais Putin leo ameonya kuwa makombora yake ya hypersonic (hypersonic missiles) yapo tayari kuvurumishwa.

Ktk video ameonya kuwa makombora hayo ya hypersonic yasiyo na mlingano (nadhani akusudia kuwa hakuna makombora mfano wake toka kwa US na NATO) diniani tayari yameingizwa kwenye mapambano.

Kauli hiyo yafuatia kuingia kwa majeshi ya Urusi ktk sehemu za mashariki mwa Ukraine.

====

Russian president Vladimir Putin has warned that the country's hypersonic missiles are ready to launch.

In a chilling video, he warned that "weapons without parallel in the world have been put on combat duty" as Kremlin forces have surged into eastern parts of Ukraine.

Speaking barely a day after the invasion as the video shows tanks and military vehicles heading for the disputed area of Donbas.

The video is a congratulatory message in which Putin hails his troops for their "high professionalism, courage and reliability".

“Our country is always open for direct and honest dialogue, but Russia's interests and the security of our citizens are unconditional.

“So we will continue to develop and improve the army and navy.

“Weapons without parallel in the world have been put on combat duty.

“We will continue to develop advanced weapons systems including hypersonic and based on new physical principles, and expand the use of advanced digital technologies and elements of artificial intelligence.

“Such complexes are really the weapons of the future, which greatly increases the combat potential of our armed forces.

“Dear friends, as Commander-in-Chief, I am confident in you - in Russian soldiers and officers, in your high professionalism, courage and reliability, that you will protect the peace and tranquility of our citizens [and] defend the national interests of our great country.”

Moscow's foreign ministry announced it is due to launch "embassy level" relations with the two Donbas republics.

In a statement, they said: “Russia is geared towards full development of collaboration with the DPR and LPR, including between foreign policy agencies in the interests of the citizens of our countries, the strengthening of peace, regional stability and security."

a close-up of a field hospital and troop deployment in western Belgorod, Russia


A close-up of a field hospital and troop deployment in western Belgorod, Russia (Image: Satellite image ©2022 Maxar Tech

This comes as former US national security advisor John Bolton warned that Putin could launch a surprise attack from the Black Sea on the strategic port of Odessa, instead of invading Kiev.

Speaking to Times Radio, he said: “I don’t think he wants to go after the whole country. I think the next attack could come on Odessa.

“Everybody is thinking of some massive assault on Kyiv but I rather doubt that’s going to happen."

Russian armored vehicles stand on the road in Rostov region


Russian armored vehicles stand on the road in Rostov region (Image:YURI KOCHETKOV/EPA-EFE/REX/Shutterstock)

Yesterday, Prime Minister Boris Johnson announced Britain's reply to the invasion in the form of sanctions.

Britain's sanctions effect five banks and only three individuals, leading to widespread criticism for what has been slammed as an inadequate response to the unfolding invasion.

Speaking to the BBC today, foreign secretary Liz Truss promised more sanctions were "in the locker".

Source: Mirror
 
Hili eneo USA na wanae wa NATO wapo nyuma sana. Mrusi anaweza akapigana akiwa nyumbani kwake bila kupeleka ndege ,wanajeshi,au hata manowari kwenye nchi nyingine. Yule boya alipoteza pesa mingi kuweka makambi na manowari kila kona, hizo mbinu atawaweza mataifa utopolo ila akifika kwa wakina Putin hivyo vyote havina kazi
 
Sikirimimimasikini huu mgogoro inaonekana una maslai nao. Upo updeted nao sana. Vita haitapiganwa. Ni kutishana tu.

Kama nilivyosema looser hapa ni ukraine.
Great reset lazima paeleweke............iwe physically ama mentally...........inaweza isipigwe vita physically ila lazima hata kwenye fikra za watu kuna kitu kitabadilika kuhusu haya mataifa.........hizi ni kama ngumi za kitaa masela wanakaa pembeni wanawacheki mtamalizana vipi nyie wababe wa 2 , baada ya hii ishu mataifa madogo yatajua yaegemee kwa nani ..........................
 
Sikirimimimasikini huu mgogoro inaonekana una maslai nao. Upo updeted nao sana. Vita haitapiganwa. Ni kutishana tu.

Kama nilivyosema looser hapa ni ukraine.
Mkuu mie sina maslahi yoyote, ila naona raha tu kuona kuwa duniani wababe wako wengi na hivyo Ulimwengu utakuwa mahala salama pa kuishi (wataogopana)

Yes Mkuu, hilo lipo wazi vita haitapiganwa kwa sababu Ukraine pamoja na msaada wowote atakaopewa hana ubavu wa kumkabili kivita Russia, lazima Ukraine asalimu amri hata kama Russia akiingia mzigoni.

Hata kama mie ndio ningekuwa rais wa Ukraine, ningeamua kuufyata tu mbele ya Putin.
 
Hili eneo USA na wanae wa NATO wapo nyuma sana................mrusi anaweza akapigana akiwa nyumbani kwake bila kupeleka ndege ,wanajeshi,au hata manowari kwenye nchi nyingine.......yule boya alipoteza pesa mingi kuweka makambi na manowari kila kona , hizo mbinu atawaweza mataifa utopolo ila akifika kwa wakina Putin hivyo vyote havina kazi
Sitaki kuamini kama USA na yeye hawezi kufanya hivyo mkuu.
 
Sitaki kuamini kama USA na yeye hawezi kufanya hivyo mkuu.
USA kapigana na mataifa mangapi ambayo yameweza kumpiga na yeye kwake? Zaidi ya ile pearl harbor akaenda kumtandika mjapan na nuclear. Hali ya sasa itakua zaidi ya pearl harbor. Warusi walishachapana sana na Hitler na hata kabla ya hapo ni taifa ambalo kwake vita sio kitu kigeni hasa kushambuliwa na majirani. Marekani akikubali hiki kikombe atakua ana chill with the big boys 😁😁😁😁
 
USA kapigana na mataifa mangapi ambayo yameweza kumpiga na yeye kwake? Zaidi ya ile pearl harbor akaenda kumtandika mjapan na nuclear,, hali ya sasa itakua zaidi ya pearl harbor. Warusi walishachapana sana na Hitler na hata kabla ya hapo ni taifa ambalo kwake vita sio kitu kigeni hasa kushambuliwa na majirani. Marekani akikubali hiki kikombe atakua ana chill with the big boys [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
...
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787], Toka kipindi cha Napoleon wazungu walitamani kuingia Russia wakachemsha. Ndio Taifa ambalo halijawahi kushindwa vita ulaya na ndio Taifa lilipoteza watu wengi katika WWII, halafu wanatokea wazungu pori kutokea amerika ya kaskazini kuwajambisha. Hawa jamaa sio wa mchezo kabisa wazungu wekundu wajipange maana mrusi hana cha kupoteza.
 
Ukraine inamegwa na hakuna wa kufanya kitu

Putin aliahidi atarudisha USSR
Vita hakuna ila jamaa wanatakaa hapo kama kwao tu
Submarines 51 na Ukraine hawana hata moja
Silaha zingine anamzidi mara mia
Yaani hapo Ukraine anakubali kwa shingo upande na NATO wala USA hawatamsaidia kitu

Huyu sio Saddam mjue
 
Huyu ukrain angejifunza kwa hawa US na wenzio walichomfanyia rais wa afghanistan haya yote yasingemkuta,wanamdanganya watamsaidia lakini jamaa anaingia hakuna wanachomsaidia,wanabaki kuweka vikwazo ambavyo havina maana yeyote,korea na wairan wamewekewa vikwazo miaka nenda rudi lakini wapo wanachekelea tu
 
USA kapigana na mataifa mangapi ambayo yameweza kumpiga na yeye kwake? Zaidi ya ile pearl harbor akaenda kumtandika mjapan na nuclear. Hali ya sasa itakua zaidi ya pearl harbor. Warusi walishachapana sana na Hitler na hata kabla ya hapo ni taifa ambalo kwake vita sio kitu kigeni hasa kushambuliwa na majirani. Marekani akikubali hiki kikombe atakua ana chill with the big boys 😁😁😁😁
Point yangu ni pale uliposema Russia anawaza kupigana akiwa amekaa nyumbani na nikasema siamini kama USA na yeye hana hizo silaha na teknolojia za kupigana akiwa nyumbani pia.
 
Yakipita masaa 48 bila response yoyote toka upande wa West especially USA mtazamo wa hii army mobilization ya mrusi ndani ya Ukraine utabadiri mwelekeo wa upanuzi zaidi.
 
Yakipita masaa 48 bila response yoyote toka upande wa West especially USA mtazamo wa hii army mobilization ya mrusi ndani ya Ukraine utabadiri mwelekeo wa upanuzi zaidi.
Hakuna watakacho fanya usa labda ni kuweka VIKWAZO uchwara kwa viongoz wa urudi kama kuzuiwa kwa viongoz wa urusi kusafir kuelekea west
 
Hakuna watakacho fanya usa labda ni kuweka VIKWAZO uchwara kwa viongoz wa urudi kama kuzuiwa kwa viongoz wa urusi kusafir kuelekea west
Moscow ilishajua kuwa hatua watakayoanza nayo response ya kwanza kutoka West ni vikwazo ambavyo mpaka jana vilishakuwa imposed tayari. Marekani anasubiria reaction ya majirani na Ukraine Ulaya ambao ni Germany na France wanasemaje katika hatua aliyofikiwa na Moscow ili nae aingie kwa mgongo wa NATO
 
Hili eneo USA na wanae wa NATO wapo nyuma sana. Mrusi anaweza akapigana akiwa nyumbani kwake bila kupeleka ndege ,wanajeshi,au hata manowari kwenye nchi nyingine. Yule boya alipoteza pesa mingi kuweka makambi na manowari kila kona, hizo mbinu atawaweza mataifa utopolo ila akifika kwa wakina Putin hivyo vyote havina kazi
Natamani hii vita iishe kwa viongozi wakuu wa NATO kwa upande mmoja na Russia upande wapili wapande ulingoni wazichape. NATO washirikiane kupambana na Putin.
Wasitese raia wao.
 
Ukraine walibugi sana, huwezi ukawa unapakana na mbabe Kama Russia harafu unatengeneza urafiki na maadui wa huyo mbabe, utaangamizwa tuu.
Hata marekani hawezi kukubali Mexico wawe na mahusiano ya kijeshi na nchi Kama China, Korea kaskazini au Russia, lazima watachukua hatua ya kuuangusha utawala huo
 
Back
Top Bottom