Putin asema makombora yake ya hypersonic yasiyo na mpinzani yapo tayari kutumika vitani sasa

Huyu jamaa na kiduku ni🐐 wanamaanishaga na kudhamiria wanachosema.
If he's no longer interested with life (of which I'm wondering !!!), he should go to the Casket alone and not trying to drag us all along with him (We want to continue enjoying in this world).....
 
Nani alikudanganya
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Exactly kabisa kwa Sababu mbabe atakuwa ameshaonekana [emoji16][emoji16]
 
New update [emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] watu wanadhani Putin na Russia ni Burundi
 
Yakipita masaa 48 bila response yoyote toka upande wa West especially USA mtazamo wa hii army mobilization ya mrusi ndani ya Ukraine utabadiri mwelekeo wa upanuzi zaidi.
Here we ago again [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji123]
 
Wewe hujui kitu, vikwazo vinaitesa san Korea na Iran, mpaka leo wanaomba viondolewe.

Russia wamekubali kupoteza uchumi wao ili kulinda himaya yao kwa mtutu wa bunduki. Ni ufahari wa kimaskini.
 
Anunuke wapitishie mbali na hali hii kwani wote wanawatumikia wao.
 
RUSIA atamfanya Ukraine apendavyo na hakuna kutu Nato wanaweza kumfanya.
Jamaa anafanya maamuzi na anayasimamia
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] watu wanadhani Putin na Russia ni Burundi

Yaani mimi naangalia sana Russian Tv RT kila siku
Propaganda za wazungu na USA nawaachia wengine

Putin atarudisha nguvu ya Urusi ile taratibu
Na hakuna wa kumfanya kitu
Sanction my [emoji3097]
Kuna warusi kibao hapa [emoji636] walipewa Gold Visa kwa sababu ya utajiri wao ni billionaires kwa hiyo lazima Muingereze atulie maana tunakula hela zao [emoji23][emoji23]
 
Ni suala la muda tu, Raia wa Urusi watahitaji msaada wa dawa na chakula

Bei ya mafuta na gesi imeishapanda Ulaya as we speak
Russians wamezoea sanctions na sasa mapambano tayari huko Kiev

Lt Gen wa USA anaeongelea masuala ya vita leo amehojiwa LBC anasema hakuna wa kuwasaidia Ukraine bali ilikuwa wafanye makubaliano ila sasa it’s too late
 
Sitaki kuamini kama USA na yeye hawezi kufanya hivyo mkuu.
Putin mjinga anafikiri kila mtu kupigana lazima atumie njia hiyo hiyo

Kwenye vita kuna kuficha siri nyingi aweza dhani hana upinzani kwenye hilo kumbe wapo wenyewe wana system zao .Mfano hiyo mikombora ina system za ki computer inayoiongoza kwenda kwenye target. Yeye akiwaza air defence system za kuyatungua kuwa hazipo wenzie waweza angalia tu mfumo wa urushaji wa kidigitali anaoutimia yasitoke kuruka au ku divert direction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…