Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Makundi mengi zaidi kote ulimwenguni yametokea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ili warudi kwenye makazi yao.Hali hiyo inaonesha kama kwamba mashambulio ya Hamas yameleta athari kubwa katika kuelezea madhila ya taifa lao.
Katika ufuatiliaji wa maoni kwenye mitandao ya kijamii imeonekana pia kuwa idadi kubwa ya wachina wameyaona mashambulizi ya Hamas kwa kushtukiza ndani ya mipaka ya Israel ni aina ya ushujaa wa kundi hilo.
Rubani mmoja wa Air Canada amesimamishwa kuruka kutokana na kuilaani Israel wazi wazi akiwa kazini.
Kati ya wote wanaoonekana kuwaunga mkono Hamas na kuelewa wanachopigania ni raisi Putin wa Urusi ambaye amesema ni wakati sasa kwa Palestina kupatiwa taifa lao. Hayo aliyasema alipokuwa akizungumza na mshirika wake,raisi Erdogan wa Uturuki.
Katika mazungumzo hayo Putin alisema kilichotokea majuzi na kilichoipata Israel ni matokeo ya siasa mbovu za Marekani katika eneo la mashariki ya kati.