Putin ataka Palestina wapewe nchi yao

Vyovyote iwavyo, haiwezi ku justify uhuni wa Putin
Kutesa kwa zamu hata ushenzi waliokua wanafanya wamagharibi hauna justification ila muda umefika mwenye kisu kikali ndo atakae kula nyama
 
Kutesa kwa zamu hata ushenzi waliokua wanafanya wamagharibi hauna justification ila muda umefika mwenye kisu kikali ndo atakae kula nyama
Ushenzi ni ushenzi, wa juzi hauhalalishi wa leo.
 
Endeleeni na matamko huku mabomu yakiendelea kushuka Palestina, mpaka sasa wakimbizi wamefika 250,000 wote wamekusanyika wanategemea misaada ya wazungu.
 
Watoto wa juzi msome hapo
 
Attachments

  • Screenshot_2023-10-12-04-49-56-60.jpg
    159.2 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…