Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 6,974 Reaction score 8,750 Nov 27, 2022 #101 Putin dini gani?
fidel castro wapili JF-Expert Member Joined Mar 18, 2017 Posts 3,497 Reaction score 2,911 Nov 28, 2022 #102 Kalunya said: Anatafuta huruma ya waislamu na sapoti ya makundi ya kigaidi. Click to expand... Makundi mengi ya kigaidi yalianzishwa na USA, hayawezi kumsaidia PUTIN. Syria alikuwa anapigana na hayo makundi.
Kalunya said: Anatafuta huruma ya waislamu na sapoti ya makundi ya kigaidi. Click to expand... Makundi mengi ya kigaidi yalianzishwa na USA, hayawezi kumsaidia PUTIN. Syria alikuwa anapigana na hayo makundi.
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 32,408 Reaction score 50,809 Nov 28, 2022 #103 fidel castro wapili said: Makundi mengi ya kigaidi yalianzishwa na USA, hayawezi kumsaidia PUTIN. Syria alikuwa anapigana na hayo makundi. Click to expand... Leo hii waislamu wote mnamuabudu Putin, wakiwemo magaidi wenu wote.
fidel castro wapili said: Makundi mengi ya kigaidi yalianzishwa na USA, hayawezi kumsaidia PUTIN. Syria alikuwa anapigana na hayo makundi. Click to expand... Leo hii waislamu wote mnamuabudu Putin, wakiwemo magaidi wenu wote.