Warusi walitangaza mapema kabisa kwamba wamepata " Vaccine" dhidi ya COVID-19. Na huyu mwamba Putin akasema binti yake moja amepata hiyo chanjo na iko poa. Yeye mwenyewe amekwepa kupata chanjo kwa visingizio kibao.
Sasa Obama, Bush na Clinton wao wamesema watapata chanjo ya covid 19 na ma camera kibao yawepo ili kuwatoa hofu wananchi wao kwamba chanjo iko poa.
Naona hii la akina Obama litampa wakati mgumu Putin maanake amekuwa anawasakizia marais wenzake hiyo chanjo na hasa wanajeshi wake