Sio kweli. Inaweza ikatokea tukagunduaHakuna hata nchi moja ya Africa imeweza kugundua chanjo yoyote.
Natafakari hii dunia bila mzungu maisha yangekuaje!!?
Siku zote Mswahili huwa hakubali kuwa hapa sipawezi, kama alivyo mshirikina. Mpaka apigwe. Lakini hapo inakuwa too late!Sio kweli. Inaweza ikatokea tukagundua
Mbona jamaa moja west africa huko amegundua solar panel kali sana hata mawingu ya mvua inachaji safi tu bila tatizo
Kuna muandishi mmoja nimemsahau jina alisema ..
"chanjo zote wajaribiwe kwanza viongozi wakuu wa kisiasa wasipodhurika hicho kitakuwa kipimo kizuri kwamba chanjo hizo ni salama"
Mjomba wa Kremlin ajaribu chanjo wananchi wake na dunia ipate uhakika na chanjo aliyo itangazia dunia.Hao viongizi
Nashangaa watu hawajihoji maswali kama haya. Basi tuseme itakuwa halisi kwao ila huku ikaletwa nyingine ambayo ndio ajenda yao kuu. Nani atajua?Were una uhakika gani kwamba marais wastaafu wa USA watadungwa chanjo ya COVID-19 na sio PLACEBO?
Kinacho lengwa pale na USA Big Pharma Companies ni kutaka kuhamasisha wananchi kupitia Publicity stunts ya kujifanya kana kwamba Marais wastaafu wamekubali kugungwa chanjo ambayo haija fanyiwa majaribio ya kutosha, kumbe wanataka kuwachota akili RAIA wao.
Kwasabasu ni akili za mashetani, Na hii vaccine ni mpango wao wa NEW WORLD ORDER wa kutaka dunia nzima kila mtu lazima apigwe chanjo, Utakua huwezi safiri kutoka nchi moja kwenda nyingine pasipo uthibitisho wa Vaccine kwenye Hati yako ya kusafiriaHakuna hata nchi moja ya Africa imeweza kugundua chanjo yoyote.
Natafakari hii dunia bila mzungu maisha yangekuaje!!?
Tanzania panatosha 😄😄Kwasabasu ni akili za mashetani, Na hii vaccine ni mpango wao wa NEW WORLD ORDER wa kutaka dunia nzima kila mtu lazima apigwe chanjo, Utakua huwezi safiri kutoka nchi moja kwenda nyingine pasipo uthibitisho wa Vaccine kwenye Hati yako ya kusafiria
Tena wazee wa miaka 70s huko ndi watumike kama publicity stunt kuwafanya vijana wa 20s wapewe chanjo?.Yaani hata kama chanjo itawaadhiri hao wazee wa 70s ni sawa tu sababu ndio wanafkia kikomo cha umri wao wa kuishi,sasa vijana wa 20s inakuaje??.Cha msingi hapa sio kutumia wazee ku influence vijana,bali wakae wajibu maswali yanayoulizwa with facts bila kupepesa macho,sio kuletea watu wanasiasa wazee waliojichokea ku influence vijana...Were una uhakika gani kwamba marais wastaafu wa USA watadungwa chanjo ya COVID-19 na sio PLACEBO?
Kinacho lengwa pale na USA Big Pharma Companies ni kutaka kuhamasisha wananchi kupitia Publicity stunts ya kujifanya kana kwamba Marais wastaafu wamekubali kugungwa chanjo ambayo haija fanyiwa majaribio ya kutosha, kumbe wanataka kuwachota akili RAIA wao.
Tatizo hao wanasiasa ni wazee 60s and 70s huko,wameshaishi maisha yao,vipi kuhusu vijana wa 18s and 20s??.Kuna muandishi mmoja nimemsahau jina alisema ..
"chanjo zote wajaribiwe kwanza viongozi wakuu wa kisiasa wasipodhurika hicho kitakuwa kipimo kizuri kwamba chanjo hizo ni salama"
Most of the youth are asymptomatic to COVID-19, the disease is not life threatening to them.Tatizo hao wanasiasa ni wazee 60s and 70s huko,wameshaishi maisha yao,vipi kuhusu vijana wa 18s and 20s??.
Point yangu ni kwamba,wasiwekeze nguvu kwa vijana kupata chanjo maana kama ina serious consequences vijana ndio watakaoumia sana kuliko wazee.Wawekeze nguvu kuhamasisha wazee wapewe iyo chanjo...Most of the youth are asymptomatic to COVID-19, the disease is not life threatening to them.
But, the lives of the old ones are at stake if they don't get vaccine and contract the disease.
Unafikiri nani hapo anahitaji chanjo?
Tupo pamoja mkuu.Point yangu ni kwamba,wasiwekeze nguvu kwa vijana kupata chanjo maana kama ina serious consequences vijana ndio watakaoumia sana kuliko wazee.Wawekeze nguvu kuhamasisha wazee wapewe iyo chanjo...