Putin hatakuwepo katika mazishi ya raisi aliyemtangulia

Putin hatakuwepo katika mazishi ya raisi aliyemtangulia

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Soma hapa na jiulize kwa nini
Ibaki kusema tu Putin yupo smart sana na mambo yake.

Vladimir Putin Will Not Attend Mikhail Gorbachev Funeral: Kremlin​

"The farewell ceremony and funeral will take place on September 3 but unfortunately the president's work schedule will not allow him (to attend)," Kremlin spokesman Dmitry Peskov told reporters.​

Hivi kutokuhudhuria mazishi mtu mfu ni u-smart? Sio uoga na udhaifu uliopitiliza kiungozi. La muhimu iwe kweli schedule imebana na sio kususa!
Soma hapa na jiulize kwa nini
Ibaki kusema tu Putin yupo smart sana na mambo yake.

Vladimir Putin Will Not Attend Mikhail Gorbachev Funeral: Kremlin​

"The farewell ceremony and funeral will take place on September 3 but unfortunately the president's work schedule will not allow him (to attend)," Kremlin spokesman Dmitry Peskov told reporters.​

😂😂 Neno u-smart, uzalendo na ushajaa upatikana kwa urahisi sana Africa.
Kutohudhulia /kuhudhulia mazishi nayo ni ushajaa😕.
Kwanini isiwe hofu ndiyo inafanya asi- attend mazishi!.
 
Memwona Kenyatta akitembea kwa uhuru maeneo ya Mombasa, nkawaza jamaa anajiaminijeee.

putin anajua anawindwa na watesi wake
 
Shirikisho la Russia lilisambaratika wakati wa Gorbachev na kuna tetesi kuwa aliruhusu makusudi msambaratiko huo baada ya kushinikizwa/kuhongwa na Marekani. Kwa Putin Gorbachev ni kiongozi dhaifu na aibu kwa taifa.

Yeye yuko anapambana kuirudisha Urusi katika uimara wake; inawezekanaje tena ahudhurie mazishi ya mtu aliyeidhoofisha? Si naye ataonekana kuwa ni dhaifu/mnafiki?
 
Angeuzuria aseme wazi mtu huyu kuna mema kafanya na kuna mabaya yake haya hapa au angesema sihuzurii mazishi ya mtu dhaifu
 
Back
Top Bottom