Putin je anawatembelea hawa Rafiki zake? Maana naona wanapukutika tu

Putin hawezi kuwalinda hao madikteta wakati mwenyewe hajiamini ndio maana muda ukifika kila moja anakufa kifo chake na Putin asifanye chochote. Putin hana lolote ni msanii tu.
 
Usiposide na America hata kwa unafiki, jihesabu your nothing.
Wewe huoni tokea Samia aseme Who are you, alipigwa mikwara akakimbia kwenda kujidicha anabaki kuwatuma viongozi wa ccm kusema kuwa ananyanyaswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…