Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Cluster bombs ni Miongoni mwa mabomu yaliyopigwa marufuku na umoja wa mataifa kutumika kutokana na uhatari wake , lakini hivi karibuni marekani ameonyesha nia ya kumpatia Ukraine mabomu hayo na kuyatumia dhidi ya urusi.
Majibu ya Putin juu hilo ni kwamba urusi inayo hazina ya kuzosha ya mabomu hayo na hajayatumia na alikuwa hana mpango kuyatumia katika vita hivyo lakini atafanya hivyo endapo Ukraine akiyatumia dhidi yake kupitia msaada wa marekani.