Putin: Kama watatumia cluster bombs na Sisi tutatumia

Zacht

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
1,026
Reaction score
2,266
Cluster bombs ni Miongoni mwa mabomu yaliyopigwa marufuku na umoja wa mataifa kutumika kutokana na uhatari wake , lakini hivi karibuni marekani ameonyesha nia ya kumpatia Ukraine mabomu hayo na kuyatumia dhidi ya urusi.

Majibu ya Putin juu hilo ni kwamba urusi inayo hazina ya kuzosha ya mabomu hayo na hajayatumia na alikuwa hana mpango kuyatumia katika vita hivyo lakini atafanya hivyo endapo Ukraine akiyatumia dhidi yake kupitia msaada wa marekani.

 

Attachments

  • Demonstration_cluster_bomb.jpg
    1.3 MB · Views: 4
Jinsi cluster bomb inavyofanya kazi na sababu ya kupigwa ban kutumika vutani
 
Hizo cluster bombs mrusi kazitumia sana mwanzoni atulie mwenzake na yeye azitumie
 
Mbona Urusi alishayatumia
 
Mrusi kaishiwa kabaki na maneno kama Ali sahafu wa Iraq...
 
Urusi tayari alishatumia cluster bombs mwanzo mwanzo akachemka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…