Putin kustaafu Urais mapema 2021 kwa sababu ya Parkinson disease

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanajamvi!

Kuna tetesi huenda mwamba Strongman Vladimir Putin Rais wa Urusi akastaafu Urais mapema 2021.

Inasadikika Putin 68, ameanza kuonyesha dalili za Parkinson na kuleta wasiwasi Kremlin na kusababisha sheria za haraka haraka zitungwe awe na kinga ya maisha.

Aidha mpenzi wake Alina Balieva aliyemzalia mapacha amemsihi Putin astaafu mapema.

Pia Putin yasemekana alifanya cosmetic surgery botox na fillers kwa kujaza mafuta usoni na mashavuni kuonekana kijanakijana.

Hapo chini ni kifaa cha Putin kinachomsihi atemane na urais wapate muda mwingi wa kula good time.
 
Hata mimi ningestaafu mapema
Mtoto Mkali hivi lazima kustaafu mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…