MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Mashambulizi yaUkraine ya kukabiliana na Urusi hayatabadili mipango ya
Urusi – Putin
Mashambulio ya hivi karibuni ya kukabiliana na vita vya Urusi hayatabadili mipango ya Urusi, Vladimir Putin amesema katika kauli zake za kwanza kwa umma kuhusu sula hilo.
Katika mashambulio ya haraka ya kukabiliana na mashambulio ya Urusi, vikosi vya Ukraine vinasema viliweza kutekaeneo la kimolita za mraba 8,000 (saw ana maili 3,000 za mraba) katika kipindi cha siku sita katika jimbo la kaskazini-magharabi la Kharkiv.
Lakini Bw Putin alisema kuwa hana haraka, na mashambulizi ya jimbo la Ukraine la Donbas bado yanaendelea.
Pia alisema kuwa Urusi hadi sasa haijapeleka vikosi vyake kamili.
"Mashambulizi yetu katika Donbas hayakomi. Yanasonga mbele – sio kwa kasi sana – lakini wanaendelea taratibu kuyateka maeneo zaidi na zaidi" alisema baada ya mkutano katika Uzbekistan.
Mji wa viwanda wawa jimbo la Donbas uliopo mashariki mwa Ukraine unalengwa katika uvamizi wa Urusi, ambapo Bw Putin anadai ni muhimu kuuteka ili kunusuru wazungumzaji wa Kirusi na mauaji ya kimbari.
Sehemu za Donbas zilitwaliwa na wapiganaji wanaotaka kujitenga wanaoungwa mkono na Urusi tangu mwaka 2014.
Jimbo la Kharkiv, ambako hivi karibuni Ukraine ilifanya mashambulio ya kukabiliana na uvamizi, sio sehemu ya Donbas.
Katika kauli za Ijumaa, Bw Putin alitishia kujibu ’’vikali zaidi’’ iwapo mashambulizi ya Ukraine yataendelea.