Putin mpaka anatamani kutumia hawa wanajeshi wa Korea Kaskini licha ya njaa yao na unyonge

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwa sasa Urusi inaomba msaada wa wanajeshi kutokea popote, hadi wanafuata hawa wa Korea Kaskazini, sema itabidi kwanza walishwe chakula kama miezi miwili ndio waingie kwenye mapambano North Korea offering 100,000 troops to help defeat Ukraine, Russian state media says

20130807-nk011k.jpg

... duh! Hao inabidi wanenepeshwe kwa muda kwanza ili wawe angalau na uwezo wa kubeba bunduki otherwise ni majanga. Ila madikteta ni majitu ya ajabu sana; kati ya vitu wasivyojali ni maisha ya wengine hata watu wao.

Wanachojali ni kujikita madarakani na prestige basi basi no matter mtakufa wangapi. Sasa hao wakulima wachovu ndio wa kupeleka vitani kweli? Au basi ameamua kupunguza maskini nchini mwake! Approach mpya ya Kiduku kupambana na umaskini!
 
Wewe ni msemaji wa jeshi lipi? Urusi, yukrein au nothi Korea?
 
... duh! Hao inabidi wanenepeshwe kwa muda kwanza ili wawe angalau na uwezo wa kubeba bunduki otherwise ni majanga. Ila madikteta ni majitu ya ajabu sana; kati ya vitu wasivyojali ni maisha ya wengine hata watu wao.

Wanachojali ni kujikita madarakani na prestige basi basi no matter mtakufa wangapi. Sasa hao wakulima wachovu ndio wa kupeleka vitani kweli? Au basi ameamua kupunguza maskini nchini mwake! Approach mpya ya Kiduku kupambana na umaskini!
Mkuu hata mimi ninakubaliana na wewe ktk hili, jamaa anapunguza maskini nchini mwake.

Hahahahahahhahahahahahaha
 
Hivi hawa askar na panya road wetu si bora panya road? Askari wamechoka hivi wana nguvu kweli ya kushikilia AK47 hata kwa sekunde 10 na kulenga shabaha? Hapana kwa kweli.
 
Hawa askari ukiwaweka 10 bila silaha kisha uwapambanishe na Mandonga mtu kazi, Mandonga anapasua wote hawa.
 
Hawa ni askar kweli? Mbona ni kama mbwa waliochoka?
 
Kwa sasa Urusi inaomba msaada wa wanajeshi kutokea popote, hadi wanafuata hawa wa Korea Kaskazini, sema itabidi kwanza walishwe chakula kama miezi miwili ndio waingie kwenye mapambano North Korea offering 100,000 troops to help defeat Ukraine, Russian state media says

20130807-nk011k.jpg

Du njaa waliyo nao hao wanajeshi pichani ni kubwa sana ina kalibia robo ya njaa ya kenya wakicheza wataifikia kenya kwa njaa
 
Ila wewe jamaa sometimes habari zako zinakuwa kama comedy aisee [emoji1787][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom