Mkuu hata mimi ninakubaliana na wewe ktk hili, jamaa anapunguza maskini nchini mwake.... duh! Hao inabidi wanenepeshwe kwa muda kwanza ili wawe angalau na uwezo wa kubeba bunduki otherwise ni majanga. Ila madikteta ni majitu ya ajabu sana; kati ya vitu wasivyojali ni maisha ya wengine hata watu wao.
Wanachojali ni kujikita madarakani na prestige basi basi no matter mtakufa wangapi. Sasa hao wakulima wachovu ndio wa kupeleka vitani kweli? Au basi ameamua kupunguza maskini nchini mwake! Approach mpya ya Kiduku kupambana na umaskini!
Sawa military expect wa Kwa mtogole.Ni wazi vikipiganwa vita USA na Russia, within two hours into the war Russia lazima arushe bomu la Nuclear.
Du njaa waliyo nao hao wanajeshi pichani ni kubwa sana ina kalibia robo ya njaa ya kenya wakicheza wataifikia kenya kwa njaaKwa sasa Urusi inaomba msaada wa wanajeshi kutokea popote, hadi wanafuata hawa wa Korea Kaskazini, sema itabidi kwanza walishwe chakula kama miezi miwili ndio waingie kwenye mapambano North Korea offering 100,000 troops to help defeat Ukraine, Russian state media says
North Korea offering 100,000 troops to help defeat Ukraine, Russian state media says
North Korea has offered Russia 100,000 troops to help defeat Ukraine, according to Russian state mediaafrica.businessinsider.com