The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Wakuu Habari
Nilikuwa huko Twitter (X) na katika kupita pita kwangu nikakutana na hii habari ya Iran kuungana rasmi na umoja wa mataifa yaliyopo katika muungano wa Brics , kubwa zaidi lilo nivutia sio Iran Tu kuwa mwanachama wa Brics kumbe kuna mataifa kibao ambayo na yenyewe yapo katika mchakato wa kujiunga na muungano huo wa wababe wa vita na wasio tishwa na Taifa lolote lile hapa duniani
Kilicho nivutia zaidi ni nguvu ya ushawishi aliyonayo Putin na nchi yake ya Russia imagine imagine licha ya Taifa Hilo kuwekewa vikwazo mbali mbali vya kiuchumi na mataifa mbali mbali ya Akiwemo USA na vibaraka wake , Lakini Hilo halijasaidia kupunguza nguvu ya ushawishi ya Putin na washirika wake kisiasa katika medani za kitaifa badala yake nguvu ya ushawishi Kwa Putin na Taifa lake ambalo no Russia pamoja na muungano wao unao fahamika Kwa Jina la Brics ndio kwanza umezidi kupata nguvu kubwa ya ushawishi na mataifa kibao Yana taka kujiunga na umoja huo
Hii ni ishara kwamba kuna mataifa mengi Sana yamechoshwa na ubabe wa USA na washirika wake na bila Shaka wameona kwamba muarobaini wa Hilo ni kuungana pamoja na wababe wa vita duniani Russia na washirika wake , Na jua wazi kwamba wale wa- America na waisrael wa tandale watanuna lakini ndio hivyo wakati ni ukuta wamesha Chelewa na wakati haupo tena katika upande wao
Wajiandae kuona anguko kubwa ambalo hawakuwahi kulitarajia katika maisha yao anguko ambalo litaikumba USA na washirika wake
Hapo awali wakati BRICS ilipo anzishwa kuna watu waliibeza 😁😁😁😁
Lakini sasa hivi BRICS imekuwa ni mwiba mchungu Kwa mataifa yote ambayo ni hasimu wa BRICS , Hakika anguko rasmi Lina kuja na hakuna rangi ambayo watakavyo Acha kuiona
Mungu ibariki Russia Mungu ibariki Brics Mungu mbariki Putin na washirika wake
Pitia comments katika hizo picha uone maoni ya watu na jinsi umwatu wanavyo furahia👇👇👇
Hizi details nimezitoa katika official page ya BRICS kule X

Attachments
-
Screenshot_2024-10-23-19-17-24-873_com.twitter.android.jpg191 KB · Views: 3 -
Screenshot_2024-10-23-19-17-32-670_com.twitter.android.jpg222.5 KB · Views: 4 -
Screenshot_2024-10-23-19-17-37-906_com.twitter.android.jpg226.4 KB · Views: 4 -
Screenshot_2024-10-23-19-17-49-993_com.twitter.android.jpg176.7 KB · Views: 8 -
Screenshot_2024-10-23-19-24-44-213_com.twitter.android.jpg212.5 KB · Views: 5 -
Screenshot_2024-10-23-19-24-53-486_com.twitter.android.jpg220.8 KB · Views: 4 -
Screenshot_2024-10-23-19-25-00-949_com.twitter.android.jpg208.5 KB · Views: 6 -
Screenshot_2024-10-23-19-25-07-775_com.twitter.android.jpg192.1 KB · Views: 4 -
Screenshot_2024-10-23-19-25-14-641_com.twitter.android.jpg239.7 KB · Views: 5 -
Screenshot_2024-10-23-19-25-23-642_com.twitter.android.jpg167.8 KB · Views: 4 -
Screenshot_2024-10-23-19-25-33-516_com.twitter.android.jpg215.3 KB · Views: 3 -
Screenshot_2024-10-23-19-25-48-073_com.twitter.android.jpg203.4 KB · Views: 5 -
Screenshot_2024-10-23-19-26-07-693_com.twitter.android.jpg258.5 KB · Views: 3 -
Screenshot_2024-10-23-19-17-09-972_com.twitter.android.jpg199.7 KB · Views: 2 -
Screenshot_2024-10-23-19-17-05-256_com.twitter.android.jpg196.5 KB · Views: 3 -
Screenshot_2024-10-23-19-16-59-517_com.twitter.android.jpg238.4 KB · Views: 2 -
Screenshot_2024-10-23-19-15-03-204_com.twitter.android.jpg221 KB · Views: 3 -
Screenshot_2024-10-23-19-15-25-123_com.twitter.android.jpg196 KB · Views: 4 -
Screenshot_2024-10-23-19-15-31-241_com.twitter.android.jpg189.5 KB · Views: 2 -
Screenshot_2024-10-23-19-15-49-448_com.twitter.android.jpg184.3 KB · Views: 3 -
Screenshot_2024-10-23-19-16-06-590_com.twitter.android.jpg153.1 KB · Views: 2 -
Screenshot_2024-10-23-19-16-51-986_com.twitter.android.jpg221.4 KB · Views: 3 -
Screenshot_2024-10-23-19-16-35-360_com.twitter.android.jpg215.9 KB · Views: 2 -
Screenshot_2024-10-23-19-16-29-039_com.twitter.android.jpg243.7 KB · Views: 3 -
Screenshot_2024-10-23-19-16-21-702_com.twitter.android.jpg211.2 KB · Views: 3 -
Screenshot_2024-10-23-19-16-14-206_com.twitter.android.jpg161.7 KB · Views: 2