Putin si mtu mbaya kama tulivyoaminishwa. Anaomba amani na Ukraine anataka yaishe

Putin si mtu mbaya kama tulivyoaminishwa. Anaomba amani na Ukraine anataka yaishe

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Screenshot_2024-11-09-09-24-02-493_com.instagram.android~2.jpg

Screenshot_2024-11-09-09-24-09-490_com.instagram.android~2.jpg
 
Russia anatakiwa kuhakikisha anaichukua Ukraine yote ili kuirejesha ardhi hiyo kama ilivyokuwa enzi za USSR kabla ya kuvurugwa na EU na hatimaye kujitenga.
 
Putin ni mtu muovu sana, kuanzia Chechnya, Crimea na hadi kuua wapinzani wake.
La kuua wapinzani wake, yes hata mimi naweza kumuweka kwenye kundi la waovu BUT kuhusu hizi nchi ulizo zitaja including kinacho endelea Ukraine sasa hivi HAPANA, let the Dude continue doing what he is doing though there is loss of souls. Hizo vita vimesababishwa na mataifa ya magharibi.
Kuhusu kuua wapinzani, sijui ni laana au tabia za nchi za kikominist? Russia, China, Cuba, North Korea na ile nchi iliopo Africa mashariki; same thing yaani.
 
Ubaya ubwela.. mtu mzima nguo ikikuvuka unatakiwa uchutame.... Putin kuwin this war itachukua miaka mingi sana.. hata nuclear haitasaidia.. and amechoka na vita pia sisi tumechoka na vita
Kwamba na wewe upo huko maji matitu umechoka na vita unayopigana wapi mkuu?
 
La kuua wapinzani wake, yes hata mimi naweza kumuweka kwenye kundi la waovu BUT kuhusu hizi nchi ulizo zitaja including kinacho endelea Ukraine sasa hivi HAPANA, let the Dude continue doing what he is doing though there is loss of souls. Hizo vita vimedababishwa na mataifa ya magharibi.
Kuhusu kuua wapinzani, sijui ni laana au tabia za nchi za kikominist? Russia, China, Cuba, North Korea na ile nchi ilipo Africa mashariki; same thing yaani.
Magharibi wanataka vita iendelee kumdhohifisha. Naye amegundua. Hataki. Putin hataki vita any more. Vinemchosha
 
Ubaya ubwela.. mtu mzima nguo ikikuvuka unatakiwa uchutame.... Putin kuwin this war itachukua miaka mingi sana.. hata nuclear haitasaidia.. and amechoka na vita pia sisi tumechoka na vita

Wewe Mhadzabe na Elon musk sijui nani ana akili zaidi.
Ikiwa Elon amehusika kwenye vita hii Kwa asilimia kubwa anasema Sasa mwisho wa kumwagika damu huko Ukraine umefika ,sijui wewe Mhadzabe unapata wapi nguvu ya ulichokiandika.
Soma hapo chini usipoelewa kwa Nini Musk kaongea hivyo Waite watu wenye busara wakufafanulie.
Maana unaweza kua unajua kiingereza lakini busara ya kuelewa kilichoandikwa ukawa huna.

Ukielewa pia utuambie aliechoka na vita ni Timu Trump au Putin,maana Elon ni Timu Trump.

Military operation in Ukraine
9 Nov, 03:17
Bloodshed in Ukraine to end soon, Musk says

NEW YORK, November 8. /TASS/. US celebrity entrepreneur Elon Musk suggests that the bloodshed in Ukraine will end soon.

"The senseless killing [in Ukraine] will end soon. Time is up for the warmonger profiteers," Musk wrote on the X social network when commenting on media reports of US President-elect Donald Trump’s plans on settlement of the conflict in Ukraine.

The Axios portal reported earlier that Musk took part in a phone call between Trump and Vladimir Zelensky.

Earlier, The Wall Street Journal (WSJ) reported that Trump and his team had crafted a plan to resolve the conflict in Ukraine by establishing a 1,300-kilometer-long demilitarized zone along the current battlefront. However, the United States would not send peacekeepers to the region. Under this proposal, Ukraine would be obliged to refrain from seeking NATO membership for at least 20 years. In return, Washington would continue supplying Kiev with weapons to prevent potential conflict resurgence. Kremlin Spokesman Dmitry Peskov has said that the WSJ publication is abstract.
 
Kama ulivyoaminishwa wewe ni mrusi au myukrain?matanzania mengine bwana sijui yanapata wapi ujasiri wa kushabikia mambo ya nchi nyingine na kuacha kushughulika na nchi yao
 
Magharibi wanataka vita iendelee kumdhohifisha. Naye amegundua. Hataki. Putin hataki vita any more. Vinemchosha
Kwamba vita vimemdhohofisha Putin? Don't think so. Nenda kaangalie statistics za uchumi wake na value ya currency yake, vyote vimepanda baada ya kuwekewa vikwazo vya kiuchumi, vita vimemtajirisha zaidi. Remember walio predict kwamba Russia asingechukua zaidi ya wiki kuimaliza Ukraine was not KGB or Russian government, it was CIA but why vita imechukua muda mrefu? The guy (Putin ) knows what he was doing. Kapiga pesa nyingi kwenye Ngano, mafuta, Gas nk. Hope kauza pia sana silaha plus technology kwa nchi za Kiarabu; kafaniliwa kusambaratisha uhusiano mzuri wa mataifa ya EUROPEAN union, again hata umoja wa G7 ni kama nao ume shake, Japan na Italy wameendelea kufanya biashara na Russia though USA aliweka vikwazo. Vita ni biashara brother, kwa nchi kama zetu hizi, vita is a loss but not kwa mataifa makubwa. Mtazame hata Rwanda, anapigana na Zaire/Congo for years but instead of shaking, ndio kwanza currency yao ina thamani kubwa kutuzidi na uchumi wake una paa
 
Putin hataki vita vinamdhoofisha. Nato wanataka viendelee kumdhohofisha na kumchosha. Huwezi elewa
 
mtu kavamia Ukraine , Poland , Georgia , Moldova na Finland , halaf unasubir uambiw ni mbaya au ni mzur wkt matendo yanaonekana , au haupo timamu ?
NATO wamevamia serbia, yugoslavia, libya, iraq, Afghanistan, libya, syria, saizi wanamchokoza Iran, china kupitia taiwani alafu unaona ni watu wazuri?

vichwani huko sijui kuna nini nyie wenzetu
 
Mnaosema Putin atakuwa na " free lunch" kutoka Kwa Trump pitieni hii article,Nina hakika mtarudi hapa kunishukur🙏🙏

Back
Top Bottom