DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Baada ya vikwazo vya kiuchumi dhidi ya urusi Kwa vita ya Ukraine,
Marekani ilisusa kabisa kununua aluminium ya urusi na kuishawishi ulaya nzima nao wasusue kabisa kununua aluminium ya URUSI.
Lengo ni serikali ya urusi ikose fedha ya kugharamia vita inayoendelea kule Ukraine, na yeyote atakaenunua aluminium yake, Basi atahesabika Ni mfadhili WA urusi kwny vita ya ukraine.
Serikali ya urusi ikalazimika kuhamishia soko lake la aluminium India, Brazil na kwingineko.
Vikwazo hivyo vya kiuchumi vilileta mgogoro mkubwa sn WA kiuchumi (hasa sekta ya viwanda) nchini marekani na ulaya kiujumla.
Ambapo Ulaya walilazimika kununua aluminium ya India, Ambae India alikua akiwauzia ulaya Kwa Mara 3 ya Bei ili kufidia Ela yake maana yeye mwenyewe anainunua Russia.
Marekani yeye alijikuta analazimika kuinunua Aluminium ya china, ambapo china nae alimpandishia Bei Kwa 120% baada ya USA kuamua kuifungia Ticktock isifanye Kazi nchini marekani.
Jambo Hilo liliyumbisha sn uchumi WA marekani kiviwanda huku uchumi WA ulaya ukizidi kudhoofika Mara dufu maana uwezo WA India kutosheleza soko la ulaya Bado ulionekana kusua sua sn.
Sasa Baada ya makubaliano ya USA na Ukraine kuhusu mkataba WA marekani kuchukua madini na mafuta ya Ukraine kufidia gharama za vita.
Na Pamoja na raisi Trump kuielekeza benki kuu kuachilia fedha za matajiri WA urusi zilizokua kwny mabenki yote ya kimarekani.
Raisi putin nae amesema serikali yake Sasa iko tayari kuisambazia marekani tani milioni 2.5 za aluminium ili kupunguza makali ya Bei ya aluminium Kwa soko la marekani.
Habari hii imepokelewa Kwa furaha na wamarekani maana imeleta nafuu Sana Kwa viwanda vya marekani na kuchochea uzalishaji WA bidhaa za aluminium ili ziweze kushindana sokoni na bidhaa Toka china, ulaya na kwingineko.
Alamsiki🙏