kwisha habar yaoMateja wanaenda kufa bila sababu ina maana Russia imeishiwa wanajeshi au ni njia ya kutoa kafara Raia wake
Put in kagomewaMateja wanaenda kufa bila sababu ina maana Russia imeishiwa wanajeshi au ni njia ya kutoa kafara Raia wake
BBC hii…..View attachment 2407587
Wauaji waliopatikana na hatia na wauzaji dawa za kulevya ambao wametoka gerezani hivi majuzi nchini Urusi wanakabiliwa na kuandikishwa kupigana nchini Ukraine chini ya mabadiliko ya sheria.
Rais Vladimir Putin aliifanyia marekebisho sheria ya kuwaita askari wa akiba na kuwajumuisha wanaume waliopatikana na hatia ya uhalifu mkubwa ambao walitoka gerezani hivi majuzi.
Wafungwa wa zamani waliopatikana na hatia ya uhalifu wa ngono dhidi ya watoto au ugaidi bado hawajajumuishwa katika mpango huo.
Recruitment ya Supa-pawa imegeukia mpaka wahalifu....kweli maji yamezidi unga.Rais Vladimir Putin aliifanyia marekebisho sheria ya kuwaita askari wa akiba na kuwajumuisha wanaume waliopatikana na hatia ya uhalifu mkubwa ambao walitoka gerezani hivi majuzi.
Sema balozi wa haki sawaWe lazima utakua shoga make unaupenda sana ushoga
Sasa kama elite troops na special forces kama VDV wanapigwa unadhani kuna matumaini ya vikosi gani. VDV walipigwa Hostomel mwanzoni mwa vita na positions zao pale Kherson wanajiandaa na retreat kwenda Mashariki ya mto. Hakuna kisingizio cha sijui hatujaleta wanajeshi wazoefu, makamanda waliohusika Syria ndio hao washasimamia operation na wengine washabadilishwa. All is the same hata wawe Rosgvardiya, VDV, Wagner au hawa wahuniRecruitment ya Supa-pawa imegeukia mpaka wahalifu....kweli maji yamezidi unga.
T14 Armata Nyamizi 1954 lee van cliff TUJITEGEMEE dudus
Huyu fashisti pumbavu sana! Toka mwanzo wa nyakati hadi leo ni wenye afya njema ndio hulitumikia jeshi. Sasa huyu mwehu ...!Recruitment ya Supa-pawa imegeukia mpaka wahalifu....kweli maji yamezidi unga.
T14 Armata Nyamizi 1954 lee van cliff TUJITEGEMEE dudus