Puuzeni taarifa ya Nipashe, hakuna uchotaji fedha BoT

Mh. Waziri wa Fedha unafanya biashara gani? Au unategemea malipo ya utumishi wa UMMA kama Waziri?
Nchi zingine viongozi wao utiwatafuta mtandaoni utapata biashara zao wanazofanya na kiasi cha kodi wanacholipa...Wewe unalipa kodi kweli?
Jamanii jamanii waja mna nongwa mnataka mpaka ndugu waziri ajute kuja Jf kuanzisha Uzi.
 
Karibu Urundi kaka.
 
Ondoa tozo kwenye miamala na upunguze kodi iwe rafiki hapo ndio wananchi watapunguza taharuki,hali huku mtaani ni mbaya mno biashara ndogo zinakufa na watanzania wa kumudu milo 3 kwa siku wanazidi kupungua
 
Comrade Nchemba Mwigulu Lameck wa CCM!

Unafikiri kwanini sasa taarifa hizi zinajitokeza !!?bila kujali usahihi wa taarifa zenyewe Kwanini sasa!!?

Tumekua na Grace period tangu awamu ya SITA iingie madarakani hakujawahi ripotiwa huko BOT upotevu kama sasa!!

Je mpo well equipped kupambana na the unknowns wanaotoa taarifa hizi!!?

Mmeweza kujua projection ya watoa taarifa hizi ni nini!!?Yaani wanataka kuhalalisha nini na wakisha halalisha wafanyaje baada ya uhalalisho huo!?

Nadhani kama wizara mpo well equipped kujua hatma ya hizi taarifa Zina matokeo Gani na malengo ya wahusika kutoa taarifa hizi!!

All the best
 
1. Wizi wa ununuzi wa RADAR (BAE system co.) Madalali walipata £ 12,000,000

2. Wizi wa Amatus Liyumba katika Ujenzi wa B.O.T twin towers .. Shilingi Billioni 400

3. Wizi wa akaunti ya EPA Shilingi 133 billioni.

4. Wizi katika Mradi wa kusafisha dhahabu wa Mwananchi Gold .. Dola Milioni 6

5. Wizi wa Buhemba Goldmine (Meremeta) Shilingi Billioni 155

6. Upotevu wa Shilingi Trilioni 1.5

7. Tegeta Escrow Account Shilingi Billioni 306

8. Wizi wa kuprinti pesa BOT, Shilingi Billioni 104

9. Wizi wa Alex Stewart (Audit firm) Shilingi 221 Billioni.

10. Richmond scandal Shilingi Billioni 172

11. Loliondo Gate by Stan Katabalo

12. DP World, Mradi wa kuendeleza Bandari.

13. Viongozi hawana woga kwa sababu hawanyongwi.
 
Kukanusha tu, kujibu hoja za watu aaaaaah.
 

Kwa nini mnanunua mahindi tu yanayooza na kuexpire badala ya kununua dhahabu ili kulinda thamani ya fedha kama alivyokua ameshauri Gadaff?

Tanzania kuna mabilionea zaidi ya elfu mbili lakini wengi wao kama sio wote hawaamini katika kuweka pesa benki zenye mifumo ya kimagharibi ya riba. Wengi wao ni kutokana na imani za kidini. Mlatokeo yake pesa nyingi hazipo kwenye mifumo ya kibenki.

Anzisheni benki za Mifumo ya kiislam kama ilivyo huko Dubai na Saudi Arabia.
Alimradi zitoe huduma bila ubaguzi wa kidini .
 
Sasa hapo kafafanua nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…