BEI YA ALUMINIUM IFUTAVYO-
5ft x 5ft - 247,500/-
6ft x 6ft - 356,500/-
* FREE installation within DAR.
* Kio ayna yoyote 5mm.
(Hiyo bei ni mpaka March 2014)
Contacts-
0784 76 87 86
Jamani naombeni tuurejee huu uzi, vipi ni miaka karibu 10 sasa, je kuna mafanikio yoyote kwenye upungufu wa bei? Ningependa kujua pia kama mikoani huduma hii imefika
Double glass kwa Tanzania inasaidia nini?Naomba kuelimishwaPvc single glass ukipata kwa bei ya chini 220,000 sometimes 200,000 double glass ni 250000 mpaka 270000