Pwagu apata pwaguzi

Pwagu apata pwaguzi

fired

Senior Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
151
Reaction score
311
Nilikua nakunywa bia kwa baa.Nikamwona msichana mrembo nikamnunulia kinywaji mvinyo.

Nilikua nimeongea na mhudumu aniangalilia kinywaji nilienda msalani. Niliporudi niliuliza mhudumu bila huyo msichana kujua akaniambia ya kwamba mwanadada aliweka tembe kwa kinywaji .Nilinunua kinywaji kingine.

Baada ya kunywa nikaamua kwenda matembezi na mwanadada tulienda kwa gari langu tukaanza mwendo .Katitikati ya safari nilizima gari ghafla nikajifanya imeharibika .

Nikammuliza mwanadada aondoke nje asukume , alikubali .Aliposokuma gari kidogo .Niliwasha gari na kutoweka .Katika mkoba wake nilipata tembe mia za kufanya watu walale .Nilifanya makosa kweli
 
Unge ibiwa baharia...
JamiiForums-1657112418.jpg
 
Back
Top Bottom