LGE2024 Pwani: CCM Mtambani yaibuka baada ya mgombea kushindwa, wawatuliza Wanachama

LGE2024 Pwani: CCM Mtambani yaibuka baada ya mgombea kushindwa, wawatuliza Wanachama

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Siku chache baada ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji hapa nchini, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) tawi la Mtambani kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, wamewataka wanachama kutulia wakati viongozi hao wanafanya tathimini ya nini kifanyike, kufuatia aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti kitongoji cha Mtambani kushindwa uchaguzi huo.
 
Mbonde aache ujanja ujanja.
Kipindi Cha magufuli alikamatwa sababu ya kusafirisha wahamiaji haramu.alikuwa diwani.
Kaona sasa hivi arudi kwenye uwenyekiti.kwenye kura za maoni kahonga honga kapita,kumbe diwani Daniel kwandika hamkubali wamee nda kumkata kwenye box la kura.ni wazi mapinga ni ngome ya ccm.hilo halina ubishi
 
Siku chache baada ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji hapa nchini, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) tawi la Mtambani kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, wamewataka wanachama kutulia wakati viongozi hao wanafanya tathimini ya nini kifanyike, kufuatia aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti kitongoji cha Mtambani kushindwa uchaguzi huo.
View attachment 3172879
Kumbe mkiibiwa inauma eeh ila kwa wapinzani kuibiwa ni halali?
 
CCM kama chama cha siasa ilishajifia siku nyingi ila ipo CCM chama dola inayobebwa na vyombo vya dola kubaki madarakani kwa wizi wa kura. Ni majizi mabobevu ya kura.
 
Back
Top Bottom