Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kumbe mkiibiwa inauma eeh ila kwa wapinzani kuibiwa ni halali?Siku chache baada ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji hapa nchini, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) tawi la Mtambani kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, wamewataka wanachama kutulia wakati viongozi hao wanafanya tathimini ya nini kifanyike, kufuatia aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti kitongoji cha Mtambani kushindwa uchaguzi huo.
View attachment 3172879
Hawajaibiwa kura.wao wenyewe ndo wamemkataaKumbe mkiibiwa inauma eeh ila kwa wapinzani kuibiwa ni halali?