LGE2024 Pwani: DC Nikki wa Pili na RC Kunnenge wapanga foleni kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

LGE2024 Pwani: DC Nikki wa Pili na RC Kunnenge wapanga foleni kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Drama zinaendelea mpaka siku ya uchaguzi!

Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Screenshot_20241127_083138_Instagram.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Kunnenge wakiwa kwenye foleni ya kwenda kupiga kura Ichaguzi wa Mkoani A.
 
Usije ukashangaa wanakwenda kuwapigia chadema.
alafu huo utaratibu wa kupanga mstari wanaume na WA awake sio sawa.
mistari iwe miwili wanawake na wanaume iwe tofauti.umbwa nyie
 
Back
Top Bottom