Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Wajumbe wamefurahi bana, wajumbe watakuwa wamekunwa kweli kweli mpaka wametema😂😂, yetu macho. Ila wajumbe hawajawahi kuwa watu wazuri😂😂, wanakuchekea mwishoni hutaamini macho yako.
=====
Wajumbe wa Mkutano mkuu kutoka kata za Kazimzumbwi na Kiluvya Kisarawe Pwani wameazimia kwa kauli moja kumchangia fedha kwaajili ya kumchukulia fomu Mbunge wao Mhe Dkt Selemani Jafo kwaajili ya kugombea nafasi ya Ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka 2025.
Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Azimio hilo limetolewa na wajumbe kutoka kata hizo katika mkutano wa uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi CC kutokana na kazi kubwa inayofanywa na mbunge wao Mhe Jafo hivyo wameona ipo sababu ya kumuunga mkono kwa kumchangia fedha zitakazomuwezesha kuchukua foimu wakati utakapofika
Aidha Mbunge wa jimbo la Kisarawe Mhe Jafo amewashukuru wajumbe hao na kusema kuwa amefurahishwa na uamuzi huo na kuongeza kuwa unaashiria Imani kubwa aliyojijengea kwa wananchi wake na upendo wa dhati walionao kwake.