Pwani kujitenga na Kenya

Yeye hana hoja yoyote, hoja yake ni moja tu LCD basi, anashindwa na kukataa kukubaliana na ukweli kwamba Kenya inasambaratika, bado anashikilia ukuta wakati nyumba imeshabomoka karibu yote
Huyu jamaa kakariri LDC kama sala ya kutaka kula chakula.

Na wanaoisambaratisha ni hao wakikuyu.
 
Laweza hata kumuua aliekaa kando(LCD) hivyo wakaangamia wote pamoja...Hahahaha.
 
Kenyata alivyokuwa mpole na mwana democracy atawaachia wajitawale
 


How Kenya got The Ten-Mile Coastal Strip
The ownership of Kenya’s coastline has been a matter of contention since the Sultan of Zanzibar officially signed it away in 1963. The claims for secession are often accompanied by the history of the great Zanzibar sultanate which once stretched to what is today the Kenyan coastline.


ukanda wa pwani hapajakua koloni la mwingireza. mkataba uliounganisha pande utawekwa mizani wakat wa referendum!! wapwani wakitaka tuachane safari njema mwendapo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…