Pwani! Kuna tatizo gani!

Sodoma na Gomora ---- kwa waarab, Moses muarab, Abrah muarabu, dini kubwa mbili hapa Tanzania aili yake Uarabu, Uarabu ndio chazo cha....uvumbuzi wa dini zinazoamini...., uvumbuzi za kisayansi, ugaidi?
 

Wewe uko sahihi kabisa, msichana wa chuo kupewa gari la kutembelea na mpenzi wake sio kitu cha ajabu. Kama mwanaume ana girlfriend wake ambaye ni mwanfunzi na ana gari zaidi ya moja, si vibaya kumpa mojawapo awe anatumia ili kupunguza usumbufu wa usafiri.

Foleni za Dar zinakera sana hivyo ili kupunguza usumbufu wanaume hutoa magari kwa wanawake kuepuka dhahama ya kwenda kuwa -pick. Siyo sababu ya kutoa TIGO...kwani wanawake wangapi wanatoa tigo kwa raha zao na hawana hata bajaj?

Kwa taarifa tu wasichana wengi walio vyuoni wanaoendesha magari huwa wamepewa na wapenzi wao lakini mmiliki wa gari hilo bado anakuwa mwanaume! Ukileta zengwe unanyang'anywa gari mchana kweupe!
 

Hiyo ya kutunza bikra ya mbele ni sababu mojawapo ya Waarabu kula tigo (japo siku hizi nasikia bikra ya nyuma ndio imegeuka kuwa mali zaidi).

Lakini pia ukiangalia Waarabu na Wagiriki ndio walikuwa mabaharia kwa miongo mingi sana. Sasa kwenye meli mara nyingi kulikuwa hakuna wanawake, ndio maana ushoga ulianzia kwa hawa jamaa....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…