Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
MKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge ameongoza wakazi wa mkoa huo kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa.
Kunenge amekuwa kati ya wananchi waliopiga kura katika kituo cha mkoani A ambao walifika na kupanga foleni kabla ya muda wa kuanza kupiga kura saa mbili asubuhi.
Nipashe Digital ilifika kituo cha mkoani A na kukuta tayari wananchi watano wapo kituoni wakisubiri muda wa kuanza kuingia kituoni kupiga kura.
Akizungumza baada ya kupiga kura Kunenge amesema hali ya usalama katika vituo vyote vya kupigia kura imeimarishwa na kwamba vituo vipo vya kutosha karibu na makazi ya watu.
Amesema wananchi wenye uchungu na maendeleo lazima watajitokeza kwa wingi kupiga kura kuchagua viongozi watakaoshirikiana nao.
PIA SOMA
- LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024