Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.
RAMANI YA MKOA WA PWANI
HISTORIA ZA MKOA WA PWANI
Mkoa wa Pwani unapatikana katika ukanda wa mashariki mwa Tanzania, ukipakana na Bahari ya Hindi. Ni mkoa wenye historia ndefu ya kibiashara, kutokana na bandari zake na ukaribu wake na mji mkuu wa zamani wa Dar es Salaam. Pwani ilikuwa na umuhimu mkubwa katika biashara ya kale ya pwani ya Afrika Mashariki, hususani biashara ya watumwa, pembe za ndovu, na bidhaa nyingine. Baada ya ukoloni, mkoa huu umeendelea kuwa kitovu cha maendeleo ya viwanda na kilimo, hasa mazao kama mihogo, nazi, na minazi, huku pia kukiwa na maendeleo ya miundombinu ya barabara na reli.
MAJIMBO YA MKOA WA PWANI
- Kuelekea 2025 - Gerson Msigwa: Serikali yawahakikishia wananchi Uchaguzi Huru na wa Haki 2025
- Kuelekea 2025 Waziri Abdallah Ulega na DC Khadija Nasir Wakabidhi Madawati 3,000 kwa Shule za Msingi na Sekondari Mkuranga
MATUKIO YANAYOJIRI KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA MKOA WA PWANI
- LGE2024 - Pwani: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
- LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
2025
January
February

HALI YA KISIASA
Mkoa wa Pwani una jumla ya majimbo tisa (9) ambayo yote yana wabunge kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mujibu wa uchaguzi mkuu wa 2020.MAJIMBO YA MKOA WA PWANI
Jimbo la Bagamoyo
Jimbo la Chalinze
Jimbo la Kibaha Vijijini
Jimbo la Kibaha Mjini
Jimbo la Kisarawe
Jimbo la Mkuranga
Jimbo la Rufiji
Jimbo la Mafia
Jimbo la Kibiti
- Kuelekea 2025 - Gerson Msigwa: Serikali yawahakikishia wananchi Uchaguzi Huru na wa Haki 2025
- Kuelekea 2025 Waziri Abdallah Ulega na DC Khadija Nasir Wakabidhi Madawati 3,000 kwa Shule za Msingi na Sekondari Mkuranga
MATUKIO YANAYOJIRI KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA MKOA WA PWANI
- LGE2024 - Pwani: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
- LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
2025
January
- Pwani: Jafo achangiwa fomu ya ubunge na wajumbe Kisarawe
- UWT yatoa onyo kwa wana CCM walioanza kufanya kampeni za chini kwa chini kuelekea Uchaguzi Mkuu
- Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Kibaha mji lampongeza Rais Samia kuteuliwa na mkutano mkuu CCM, kuwa Mgombea Urais
February
- CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee
- Pwani: Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura kufanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025
- Kumbe bado kuna siasa za kuleta lami na madaraja
- Diwani wa Vigwaza aonya tabia ya Ubaguzi ndani ya CCM. Asema CCM hakijawahi kuwa chama cha kibaguzi
- DC Magoti wa Kisarawe: Avaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza kwa kazi nzuri anayoifanya
- Pwani: Maafisa waandikishaji wasaidizi wa daftari la kudumu la wapiga kura ngazi ya kata waapishwa kiapo cha kutunza siri
- Ado Shaibu: Mzee Wasira ameletwa kuhamisha ajenda za msingi badala yake tujadili hoja zake za kitoto, tumpuuze
- Katibu Mkuu ACT Wazalendo: Rais Samia alituhadaa na falsafa yake ya maridhiano kutupotezea muda
- Ridhiwani Kikwete atoa aina 25 ya vifaa kwa wenye ulemavu, asema serikali inaendelea kuboresha elimu kwa makundi yote
- Gerson Msigwa: Hali ya upatikanaji wa umeme nchini imeimarika na kufikia 78.4%
- Gerson Msigwa: Ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere umefika asilimia 99.80, mvua zisiponyesha hata misimu miwili bado tutazalisha umeme
- Mhamasishaji Michael Msechu na DC Petro Magoti wakutana kufanya ziara ili kuhamasisha vijana kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura
- Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025
- Pwani: Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete aboresha taarifa zake kwenye daftari la kudumu la mpiga kura
- Mvutano CCM Rufiji: Viongozi wadai kusimamishwa kwa kutomuunga mkono Mbunge Mchengerwa
- Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Jumanne Sagini: Kampeni ya msaada wa Kisheria (Samia Legal Aid) itafikia mikoa yote mpaka Mei 2025
- Mwenyekiti CCM, Kibiti: Tusicheke na yeyote anayetaka kupunguza Kura za CCM
- Petro Magoti: Kama mbunge alikuwa hafanyi ziara kusikiliza kero za wananchi, msimchague
- Juma Kassim Ndaruke: Tusicheke na yetote atakayetaka kupunguza kura za Rais Samia 2025
- RC Kunenge awataka TANROADS na TARURA kumaliza miradi ya barabara zilizoahidiwa na CCM 2020
- CCM Kibaha wampa tuza Nikki wa pili