Man Ngosha
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 219
- 69
ingia tu ufanye,,,ni questionnare.Habari wana jf,
Jana nimepata email toka pwc inayohusu assessment test ambayo inatakiwa iwe completed on friday,nimepewa username na password!!So,nataka kujua hiyo assessment test inafanyika vipi na ikoje?kwa wale wazoefu tafadhari saidia Man Ngosha!!!!!
Naomba kuwasilisha!!!
Oya ndugu zangu hata mimi nlifanya hiyo interview ya PWC, je wameshaita?