Please ndugu zangu wa JF, kwa anayefahamu kuhusu interview ambazo PRICE WATER COOPERS walisema watazifanya kuanzia 07 hadi 13 mwezi huu, vipi watu wameshanza kufanya hizo test zao, maana ijumaa jioni walinitumia email kunifahamisha nicheki email yangu mara kwa mara lakini kila nikicheki naona kimya kizito. please nijuzeni
angalia kwenye spam..mimi enzi zetu wakati tunafanya hizo aptitude zao, nilitumiwa feedback za aptitude mail ikaingia kwenye spam, bahati nzuri siku hiyo naiona mchana ndo nlikuwa nimeitwa kufanya oral (managers)! so check kwa spam...usipoona then probably badoPlease ndugu zangu wa JF, kwa anayefahamu kuhusu interview ambazo PRICE WATER COOPERS walisema watazifanya kuanzia 07 hadi 13 mwezi huu, vipi watu wameshanza kufanya hizo test zao, maana ijumaa jioni walinitumia email kunifahamisha nicheki email yangu mara kwa mara lakini kila nikicheki naona kimya kizito. please nijuzeni