Pwc kimya

rajula

Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
8
Reaction score
1
vp tuliofanya manager's interview, wapo walioitwa patners wapo walioambiwa wamekosa mbona ss wentuajaambiwa ki2?
kuna m2 mwingine ambaye hajajibiwa jamani?
 
PWC fix, kama hujaitwa mpaka sasa kaogeee.
 
walisema hata ukikosa wanakwambia mbona sie hatujaambiwa kama tumekosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…