Hii haimaanishi kuwa kisa Pweza kasema ndo watu walale.. No!! hata huko kwenye Mpira Timu ilicheza tena sana na kwa kujituma mwishowe ikashinda! So lets play our role kama wananchi!!Jamani Uchaguzi si Mpira hata kama tunataka mabadiliko
mamaaaaaa au ndo maana JK kaenda Norway jana labda anaenda kuhakiki alichotabiri pweza huyu
Jamani huyu Paulo safari hii mbona inaonekana kama kabandikiwa badala ya kuchagua mwenyewe, mbona kama bendera zimemficha miguu badala ya vice versa. Haya tusubiri huo ushindi wa CCM, akha samahani tena wa CHADEMA kwa mujibu mganga.
Kivipi? Mbona yupo kotekote. Hana uhakika?