Wapendwa nashauri tujitahidi kuepuka kuwa Drowned na imani ya hivi vitu!!. Tukiruhusu kupanga mipango yetu kwa kuzingatia matokeo ya mambo kama hayo au yanayofanana na hayo( Shekh Yahaya) Tutakuwa tumekwisha, Na huwa ni ngumu sana kuondoa akilini imani za hayo mambo!!. Tukae chonjo watanzania!! Lets base our decisions on well researched scientific facts!!!