Pyramid fc watua kuisaka saini ya Fiston Mayele

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Mchezaji wa Kimataifa wa Congo DRC na Timu ya Soka ya Yanga Fiston Mayele ambaye anahusishwa na Vilabu Vingi barani Afrika wakitaka huduma yake na sasa ni Pyramid ya Misri ambao wajitokeza na kusema Mayele lazima atue kwao.
 
Wameisha Malizana KITAMBO HAO.

Ni suala la kumtangaza tu.

Kiufundi naiona yanga ikipota Katika nyakati NGUMU mno bila MAYELE.

Morinho anasema Usajili Bora zaidi ni kuwabakisha wachezaji wako Bora kwenye timu.

KUONDOKA kwa
NABI.
Kaze.
FEISAL.
MAYELE.

YANGA Wana kazi kubwa Sana....
Mbaya zaidi walishindwa Dau kwa Chivavilo.
 
Sio bahasha tena ni Mayele
 
feisali aliondoka yanga haijaanza hata kucheza makundi...
kama kuna mtu hakua na msaada pale yanga ni fei....

mayele akiondoka bado musonda yupo
 
tutamleta senta fowadi kutoka argentina

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 

Vipi ndugu mcha mbuzi bado unashikilia misimamo wako huu?
 
Aaaahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…