Pyramid yaponea chupuchupu kupoteza mechi dhidi ya APR, ashukuriwe Mayele

Tusubiriiii waende kule na style yao ku park bus mwami....tutaona matokeo.......Mayele Majini yamemuachia?
 
View attachment 3095954

Kama sio Mayele leo mwarabu alikuwa anapigika kigali

Kweli mpira unamaajabu yake wakati huo Azam akitoa sare na Pamba jiji

futi boli inamaajabu sana
Hilo goli la APR, pyramids wamejifunga wenyewe.

Goli la Pyramids ni header ya Mayele.

APR siyo timu ya kizembe ila kuidindia Pyramids kiuwezo bado
 
Sioni cha ajabu hapo. Haya ni msahindano ya mtoano na kumbuka kuwa kwenye mtoano kunahitajika sana mbinu. Hao Pyramids watakuwa wameenda kucheza na APR kwa hesabu wajilinde wasifungwe halafu mahesabu wanamalizia kwao. Hizo ndio mbinu za timu kubwa. Al Ahly wamefungwa au kudroo mara ngapi hapa Dar na hata kwenye nchi nyingine halafu wakifika kwao ni kichapo tu kwa kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…