I am not sure if this topic have been posted in JF.
If you think you know something about Pyramids, may be you are Wrong. Just watch this Video and you will come out with many things connected wit Pyramids like Meter Scale, Pi (π = 3.14), Speed Light, Equator line, Dogon tribe in Mali etc. Worth watching for Eveybody.
Very informative but I'm afraid most of the conclusions made are theoretical and presumptive hence open to criticism and challenge from academicians. Thanks mkuu kwa juhudi.
Ni kweli unayoyasema. Ila ukiangalia jinsi Video ilivyotengenezwa ni kuwa kwanza anakupa FACT nyingi sana na mwisho anatoa hitimisho lake. Kama hutaki hitimisho, basi unaanzia hapo kwenye fact zake na kuendelea kufanya uchunguzi zaidi. Uzuri wake hakuishia kwenye maneno tu ila tu kaenda kwenye hadi vipimo na mahesabu ya wazi. Sasa uzuri wa hesabu ni kuwa huwezi kudanganya, kama jibu ni Tano, basi litabaki kuwa tano na siyo nane.
Kuna kila dalili kuwa dunia hii, ilishakuwepo kizazi ambacho kilikuwa na AKILI sana kutuzidi sisi leo hii. Vitu vyao vingi vilishapotea kasoro vichache sana. Pia kama umeona ukataji wa mawe, unatia shaka sana kama kweli walitumia hivyo vifaa vilivyoonyeshwa kwenye picha.
Yes, somebody, someday, somewhere, he/she may come and prove this lady WRONG. But, I do agree with her that she have taken the proof to higher level, than those used to be existing around. When you join with those proof from Dogon Tribe in Mali, many things become clear or almost clear.
Very informative but I'm afraid most of the conclusions made are theoretical and presumptive hence open to criticism and challenge from academicians. Thanks mkuu kwa juhudi.
Mkuu Sikonge nakubaliana na wewe 100% kuwa author amechukua hatua za kutosha kumwelewesha mtazamaji jinsi pyramids na ancient civilization zilivyokuwa mbele ya wakati pengine hata kupita sasa. Nimechukua kama masaa mawili na nusu kuupitia na nimepata mengi mapya kuhusu hii technolojia ya zamadam.