Pyramids wanaendelea kuongoza ligi kuu Misri mbele ya Al Ahly

Pyramids wanaendelea kuongoza ligi kuu Misri mbele ya Al Ahly

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
Zamalek amekula chuma tatu kama amesimama na bao la kwanza ameweka Mayele mtu mbadi.

Pyramids wanaendelea kuongoza Ligi Kuu Misri mbele ya Al Ahly.

Kama nilivyosema mkisikia Pyramids wamechukua ubingwa msimu huu msishangae jamaa wanapiga Mpira Sana.
 
Hizo ni mbio za kawaida kwa pyramid ila hata ye anajua bingwa na Ahly
Sema wao wamechukua nafasi ya zamaleki mazima
 
Hata last season pyramids waliongoza league kwa mda mrefu sana lakini mabingwa wakawa walewale nadiy al qarn (club of the century)
 
Huwa nafurahi nikisikia timu inayochukua ubingwa kila msimu ikitetereka maana hadi mashindano yanakuwa yanaboa, yani hata timu zijipindue vipi ila mwisho wa siku bingwa ni yule yule tu kila msimu hadi mnamchoka akiachia sana ni msimu mmoja au miwili baada ya hapo anaendelea tena, kwa hapa africa ndio huyo al ahly na kwa ulaya tunajua ni real madrid binafsi hizo timu sizipendi na huwa nafurahi sana zikifungwa, msimu huu ikichukua timu nyingine tofauti na al ahly itakuwa vizuri sana na itaamsha matumaini hata kwa timu nyingine, natamani wachukue orlando pirates au hata mamelodi sundowns
 
Back
Top Bottom