the_pythonman2016
Member
- Jun 10, 2024
- 16
- 6
Katika tangazo lako hujaweka gharama ya mafunzoImejieleza kaka,ni Data Analysis kwa kutumia Python, modules to be discussed ndio hizo hapo
Ukisema nieleza pandas inafanya kazi gani hapo sasa nitakuwa nafundisha ,hizo ni hinnts tu.Ukianza utajua zaid
Ndio maana nimeweka namba.Katika tangazo lako hujaweka gharama ya mafunzo
Ni Bure karibuni s
Nimeweka namba hapo.Ni Bure karibuni sana
Noted,Mi nataka nvivo siku ukiifundisha count me in