N ndechilio shoo JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 997 Reaction score 365 Feb 25, 2013 #1 Nina mdogo wangu amepata 4 ya 29,bioD,kil D,civ F,bookiping D,comarce D,geo D,math F,eng D,hisory F.naombeni msaada wa kimawazo afanyeje?
Nina mdogo wangu amepata 4 ya 29,bioD,kil D,civ F,bookiping D,comarce D,geo D,math F,eng D,hisory F.naombeni msaada wa kimawazo afanyeje?
Bright Smart JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 643 Reaction score 312 Feb 25, 2013 #2 Matokeo haya yanashabihiana kabisa na ya Nape Nnauye, kwahiyo aunge aunge tu atafika mbali, mpe moyo wa kujiendeleza huo sio mwisho kielimu na atafanikiwa tu.
Matokeo haya yanashabihiana kabisa na ya Nape Nnauye, kwahiyo aunge aunge tu atafika mbali, mpe moyo wa kujiendeleza huo sio mwisho kielimu na atafanikiwa tu.